Uchaguzi 2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

Nawapongeza sana serikali, uhuru bila mipaka ni upumbavu. Kuna vibaraka walikuwa wanasubiri wakusanye taarifa bandia wawatumie mabwana zao sasa sindano imechoma kunako wanatapatapa.
Duuuh!
Kweli ukienda shule kusomea ujinga badala.ya kufuta ujinga ndiyo matokeo ya comment kama hii.
Sasa kwa akili unadhani watashindwa kuwasiliana nao hata kwa simu au e-mail?
 
Magufuli hatishiki sio kama mzee wa msoga. Haya kazima sasa tuone mtamfanya nn [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.

Maendeleo hayana vyama!
Ndo muendelezo ule ule wa majibu ya kipumbavu na kiherehere kujibu kijinga badala kuacha wenye akili waje na majibu yanayorithisha.
 
Magufuli hatishiki sio kama mzee wa msoga. Haya kazima sasa tuone mtamfanya nn [emoji13][emoji13][emoji13]

Kama ni hivyo basi unathibitisha kuwa;

-Mkuu wa Nchi sio msikivu kama mnavyo mpamba.
-Mkuu wa Nchi anavunja Katiba kwa kuwanyima
Wananchi wake Taarifa sahihi na kwa wakati.

Una furahia Mtawala kusigina Haki za wengi,na hapa hatushindani ni swala la kufuata utaratibu tu tulio jiwekea kama Nchi.
 
Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.

Maendeleo hayana vyama!
Sasa Tundu Lissu hapigi Kura Hii maana yake hatalinda kura na hiii maaanaa ake hatakuwepo kwenye kituo chochote hiiii maana ake Vichapo Vikianzaaa hatakuwepoo mtachapikaaa Vizuriii sana sasa Akili kichwani kwen
 
Serikali imesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Dr Albert Chalamila.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi mnadhani watu ni wajinga. You can monitor those nonsenses from New York and see what is happening in Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…