Maneno kama haya kama hayakufanyi wewe mtanzania uhamaki basi sijui wewe ni mtu wa aina gani. Yaani mtu anadanganya jamii kama anadanganya watoto wake wadogo! Ni wakati gani ilipotokea mitandao ya kijamii kutokuwepo hewani kwa muda mrefu kama huu na kwa watumiaji wengi?RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Maendeleo hayana vyama!
Yeye amekuwa msemaji wa TCRA tangu lini?RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Maendeleo hayana vyama!
Aaaah, hakana kichogoKashkaji haka ni kapumbavu sana. Kwani kenyewe ni kasemaji ka serikali?
Hata hivyo mbona ukifungua mitandao hiyo kupitia website yoyote ile inafunguka na maisha yanaendelea kama kawaida
Mawakala wapo?Arusha Kura za gharika kwa LEMA na LISSU zinamiminika kama mvua ya NUHU aisseeeeh watu WAMEDHAMIRIA !!!!
Lissu ni mkombozi wa kweli,atatupa uhuru,haki na maendelea yetu
Maendeleo hayana chama.RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Maendeleo hayana vyama!
Wananchi wa wapi?Kutoweka kwa mtandao ya kijamii kumefanywa kwa makusudi.Haitasaidia chochote,wananchi wameamua.
Huyu mpuuzi anaongea nini? Anyamaze tusije mvunjia heshima.RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Maendeleo hayana vyama!
Bila kujali itikadiSasa mnapoitwa Wadanganyika ,muliewe hilo, viongozi wetu hawaoni aibu kusema uwongo
Nawapongeza sana serikali, uhuru bila mipaka ni upumbavu. Kuna vibaraka walikuwa wanasubiri wakusanye taarifa bandia wawatumie mabwana zao sasa sindano imechoma kunako wanatapatapa.