RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

Sasa mbona yeye anachanganya siasa na dini?

Chalamila inaelekea hajui historia ya makanisa ya kilokole. Serikali ya Nyerere ilijaribu kuyabana yasichipuke lakini waaapi, watu wanaongezeka tu. Ni katika utawala wa mzee Mwinyi ikabaidi uyaondolee vikwazo.

Chalamila haelewi kuwa akitokea mtawala wa hivyo atapinduliwa tu!
 
Hakuna anayeweza kuuzima moto wa injili, hata leo hii watawala wa dunia waamue kufuta usajili wa makanisa bado injili itahubiriwa tu. Kwa hiyo RC asilete propaganda hapa.
Hata wachome makanisa, Bible huwa hazichomeki, neno la Mungu litahubiriwa tu.
Kwani wale wamisionari walihubiri Makanisani ?


Waambieni waache ujinga
 
Muulizeni ile bahasha iliyojaa hela ya kodi zetu aliyopeleka pale kwa yule.wa mafuta, je anakumbuka kuwa alisema ametumwa na nani?

Tumlaani.
 
Muulizeni ile bahasha iliyojaa hela ya kodi zetu aliyopeleka pale kwa yule.wa mafuta, je anakumbuka kuwa alisema ametumwa na nani?

Tumlaani.
Alaaniwe Chalamila na huyo aliyemtuma kutishia Ukristo.
 
Huyo zero brain akishalewa ni kuropoka tu
 
Afadhali kaishia kwenye Kanisa,angegusa kuleeee,
 
Mzee wa Upako hajawahi kuwa TAG bali pentecoste
 
Mzee wa Upako hajawahi kuwa TAG bali pentecoste
Leseni yake ya kwanza alipewa na askofu Kulola baada ya TAG kugawanyika

Ila Mzee wa Upako aliokokea TAG Kihesa Iringa Wakati baba yake akiwa Dereva wa Taasisi ya Soma Biblia kule Wilolesi kwa akina RC Rose Sitaki πŸ˜€πŸ˜€πŸ”₯🌟
 
Leseni yake ya kwanza alipewa na askofu Kulola baada ya TAG kugawanyika

Ila Mzee wa Upako aliokokea TAG Kihesa Iringa Wakati baba yake akiwa Dereva wa Taasisi ya Soma Biblia kule Wilolesi kwa akina RC Rose Sitaki πŸ˜€πŸ˜€πŸ”₯🌟
Kuokokea na kukulia ni vitu viwili tofauti.
Nimeisikiliza historia yake kuwa amelelewa na pentecoste. Anyway tuyaache yalivyo.

Kakobe..yes Tag
Mitimingi...hata hivi karibuni ni Tag
Rwakatare hadi anafariki ni Tag, bali alilifanya kanisa kuwa ministry ndipo ukakasi ulipoanzia.

Maboya yes ni Tag, alisomea chuo cha Assembies of God East Africa pale Nairobi mnamo miaka ya 1982/1983 hivi.
 
Pentecoste alifata urahisi wa Kupata leseni ila hadi kwaya ameimba pale TAG Kihesa na akina Neema Mng'ong'o na Charls Dj πŸ˜€πŸ˜€

Nakutakia Dominica Njema πŸ˜„
 
Msajili wa makanisa ni Mungu, akitokea kichaa akayafunga makanisa kifo hakitamuacha kichaa huyo.

Chalamila afundishwe hekima ya Gamariel.
 
Yapo mambo tunaweza kujifunza kwenye katiba ya kanisa katoliki.

Kiongozi mkuu wa kanisa huchaguliwa na makardinali toka miongoni mwao. Kwa utaratibu wao, ni nadra kumpata kiongozi asiye na sifa.

Huwezi kuwa kardinali bila kuwa msomi au bila uzoefu wa kiuongozi.
 
Ameshalewa madaraka
 
Chalamila akamwambie nabii wao na samia Mwamposa aliyaombee makanisa yanayowapinga yafutike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…