RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

Sasa mbona yeye anachanganya siasa na dini?

Chalamila inaelekea hajui historia ya makanisa ya kilokole. Serikali ya Nyerere ilijaribu kuyabana yasichipuke lakini waaapi, watu wanaongezeka tu. Ni katika utawala wa mzee Mwinyi ikabaidi uyaondolee vikwazo.

Chalamila haelewi kuwa akitokea mtawala wa hivyo atapinduliwa tu!
 
Hakuna anayeweza kuuzima moto wa injili, hata leo hii watawala wa dunia waamue kufuta usajili wa makanisa bado injili itahubiriwa tu. Kwa hiyo RC asilete propaganda hapa.
Hata wachome makanisa, Bible huwa hazichomeki, neno la Mungu litahubiriwa tu.
Kwani wale wamisionari walihubiri Makanisani ?

Waambieni waache ujinga
 
Sasa mbona yeye anachanganya siasa na dini?

Chalamila inaelekea hajui historia ya makanisa ya kilokole. Serikali ya Nyerere ilijaribu kuyabana yasichipuke lakini waaapi, watu wanaongezeka tu. Ni katika utawala wa mzee Mwinyi ikabaidi uyaondolee vikwazo.

Chalamila haelewi kuwa akitokea mtawala wa hivyo atapinduliwa t
Muulizeni ile bahasha iliyojaa hela ya kodi zetu aliyopeleka pale kwa yule.wa mafuta, je anakumbuka kuwa alisema ametumwa na nani?

Tumlaani.
 
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Huyo zero brain akishalewa ni kuropoka tu
 
Afadhali kaishia kwenye Kanisa,angegusa kuleeee,
 
Kabla Kolola na Lazaro hawajavurugana ndio TAG ilikuwa Taasisi kubwa lakini baada ya Kulola kuondoka iligawanyika mno na Waumini Wengi wasiopenda ugomvi walioasisi ministry Zao lakini Wengi walipitia kwa Mzee Kulola baada ya Mwenisongole kuwa mkuu wa TAG

Mfano Kakobe, Rwakatare, Mzee wa Upako, Maboya, Mitimingi nk...nk wote walikuwa TAG
Mzee wa Upako hajawahi kuwa TAG bali pentecoste
 
Leseni yake ya kwanza alipewa na askofu Kulola baada ya TAG kugawanyika

Ila Mzee wa Upako aliokokea TAG Kihesa Iringa Wakati baba yake akiwa Dereva wa Taasisi ya Soma Biblia kule Wilolesi kwa akina RC Rose Sitaki 😀😀🔥🌟
 
Kuokokea na kukulia ni vitu viwili tofauti.
Nimeisikiliza historia yake kuwa amelelewa na pentecoste. Anyway tuyaache yalivyo.

Kakobe..yes Tag
Mitimingi...hata hivi karibuni ni Tag
Rwakatare hadi anafariki ni Tag, bali alilifanya kanisa kuwa ministry ndipo ukakasi ulipoanzia.

Maboya yes ni Tag, alisomea chuo cha Assembies of God East Africa pale Nairobi mnamo miaka ya 1982/1983 hivi.
 
Pentecoste alifata urahisi wa Kupata leseni ila hadi kwaya ameimba pale TAG Kihesa na akina Neema Mng'ong'o na Charls Dj 😀😀

Nakutakia Dominica Njema 😄
 
Msajili wa makanisa ni Mungu, akitokea kichaa akayafunga makanisa kifo hakitamuacha kichaa huyo.

Chalamila afundishwe hekima ya Gamariel.
 
Huyo Mbuzi anaongea hivyo maana anajua katiba mbovu iliyopo unafanya wapumbavu na mashangingi wawe maraisi wa hii nchi. Yani majimama ya kununulika kwa kodi ya nyumba yanaongoza nchi na hayafanywi chochote. Ni kweli tupeni katiba mpya halafu atokee mtawala afunge makanisa au misikiti na masinagogi aone tutakacho mfanya. Tena katiba mpya isipowekwa utawekwa kwa damu za hao mashangingi majimama ya buza mliyoyakabidhi kutuuza
Yapo mambo tunaweza kujifunza kwenye katiba ya kanisa katoliki.

Kiongozi mkuu wa kanisa huchaguliwa na makardinali toka miongoni mwao. Kwa utaratibu wao, ni nadra kumpata kiongozi asiye na sifa.

Huwezi kuwa kardinali bila kuwa msomi au bila uzoefu wa kiuongozi.
 
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema [emoji3][emoji3]
Ameshalewa madaraka
 
Back
Top Bottom