Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wachome makanisa, Bible huwa hazichomeki, neno la Mungu litahubiriwa tu.Hakuna anayeweza kuuzima moto wa injili, hata leo hii watawala wa dunia waamue kufuta usajili wa makanisa bado injili itahubiriwa tu. Kwa hiyo RC asilete propaganda hapa.
Muulizeni ile bahasha iliyojaa hela ya kodi zetu aliyopeleka pale kwa yule.wa mafuta, je anakumbuka kuwa alisema ametumwa na nani?Sasa mbona yeye anachanganya siasa na dini?
Chalamila inaelekea hajui historia ya makanisa ya kilokole. Serikali ya Nyerere ilijaribu kuyabana yasichipuke lakini waaapi, watu wanaongezeka tu. Ni katika utawala wa mzee Mwinyi ikabaidi uyaondolee vikwazo.
Chalamila haelewi kuwa akitokea mtawala wa hivyo atapinduliwa t
Alaaniwe Chalamila na huyo aliyemtuma kutishia Ukristo.Muulizeni ile bahasha iliyojaa hela ya kodi zetu aliyopeleka pale kwa yule.wa mafuta, je anakumbuka kuwa alisema ametumwa na nani?
Tumlaani.
Huyo zero brain akishalewa ni kuropoka tuRC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Afadhali kaishia kwenye Kanisa,angegusa kuleeee,RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Mzee wa Upako hajawahi kuwa TAG bali pentecosteKabla Kolola na Lazaro hawajavurugana ndio TAG ilikuwa Taasisi kubwa lakini baada ya Kulola kuondoka iligawanyika mno na Waumini Wengi wasiopenda ugomvi walioasisi ministry Zao lakini Wengi walipitia kwa Mzee Kulola baada ya Mwenisongole kuwa mkuu wa TAG
Mfano Kakobe, Rwakatare, Mzee wa Upako, Maboya, Mitimingi nk...nk wote walikuwa TAG
Leseni yake ya kwanza alipewa na askofu Kulola baada ya TAG kugawanyikaMzee wa Upako hajawahi kuwa TAG bali pentecoste
Kuokokea na kukulia ni vitu viwili tofauti.Leseni yake ya kwanza alipewa na askofu Kulola baada ya TAG kugawanyika
Ila Mzee wa Upako aliokokea TAG Kihesa Iringa Wakati baba yake akiwa Dereva wa Taasisi ya Soma Biblia kule Wilolesi kwa akina RC Rose Sitaki 😀😀🔥🌟
Mama AbdulHivi ni nani aliyemleta kuja kuongoza mkoa wa Dar?
Pentecoste alifata urahisi wa Kupata leseni ila hadi kwaya ameimba pale TAG Kihesa na akina Neema Mng'ong'o na Charls Dj 😀😀Kuokokea na kukulia ni vitu viwili tofauti.
Nimeisikiliza historia yake kuwa amelelewa na pentecoste. Anyway tuyaache yalivyo.
Kakobe..yes Tag
Mitimingi...hata hivi karibuni ni Tag
Rwakatare hadi anafariki ni Tag, bali alilifanya kanisa kuwa ministry ndipo ukakasi ulipoanzia.
Maboya yes ni Tag, alisomea chuo cha Assembies of God East Africa pale Nairobi mnamo miaka ya 1982/1983 hivi.
Iwe njema kwako piaPentecoste alifata urahisi wa Kupata leseni ila hadi kwaya ameimba pale TAG Kihesa na akina Neema Mng'ong'o na Charls Dj 😀😀
Nakutakia Dominica Njema 😄
Thubutu. Kama Tanzania haijageuka majibu ndani ya dk mbili. Unawajua jesuites wewe.Kkanisa la Rc lifutwe nchini litaleta machafuko
Yapo mambo tunaweza kujifunza kwenye katiba ya kanisa katoliki.Huyo Mbuzi anaongea hivyo maana anajua katiba mbovu iliyopo unafanya wapumbavu na mashangingi wawe maraisi wa hii nchi. Yani majimama ya kununulika kwa kodi ya nyumba yanaongoza nchi na hayafanywi chochote. Ni kweli tupeni katiba mpya halafu atokee mtawala afunge makanisa au misikiti na masinagogi aone tutakacho mfanya. Tena katiba mpya isipowekwa utawekwa kwa damu za hao mashangingi majimama ya buza mliyoyakabidhi kutuuza
Ameshalewa madarakaRC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema [emoji3][emoji3]