OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mara nyingi amelazimisha mamlaka ya uteuzi impige chini. Nafikiri ni insaneHuyu jamaa hanaga akili
Tanzania ni mkiukaji mkubwa sana wa haki za binadamuMkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam
RC Chalamila amesema hayo katika ufunguzi wa kongamano la 10 la Jotoardhi linalooendelea katika ukumbi wa mikutano wa JNICC, jijini Dar es salaam, lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Oktoba 23, 2024.
View attachment 3133318
Pia Soma
Mkuu wa Mkoa Chalamila: Wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuta yake
Mkuu wa mkoa wa dar es salaam ataka wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuga yake hadi wafe. --- Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa wizi wa transfoma' za umeme unafanywa na vijana ambao wanafahamu kazi zake, kwani hakuna anayeweza kuziiba akiwa hajui namna ya...www.jamiiforums.com
Kuna uzi wake umo humu waliuweka,wanadai mwamba alibishana na ATM za NMB mpaka card ikamezwa,wakati anasoma UD.Nilicheka sanaa.Huyu jamaa hanaga akili
Nilicho jifunza, wa Tz tunapenda kudanganywa. Huyu bwana amesema ukweliHuyu mtu kweli kichwani bado Yuko mzima???
Mtu kuugua kichaa siyo lazima mpaka avae chupi kichwani, wakati mwingine matendo au maneno yake tu ni uthibitisho tosha kuwa mtu fulani anaugua kichaa.
Alichoongea kina Ukweli ndiyo, lakini ni UHALIFU MKUBWA SANA.Nilicho jifunza, wa Tz tunapenda kudanganywa. Huyu bwana amesema ukweli
Binafsi Chalamila simpendi lakini kwenye hili namuunga mkono..... Jitu limeiba mafuta ya transformer sisi tunakosa umeme wa kufanyia kazi mpaka tunalala na njaa halafu huyo mwizi tucheke nae it's big no...Safi sana chalamila hakuna kucheka na wajinga , Mimi mwizi hua namuwekea mafuta ya taa masikioni nahakikisha yameingia vizuri halafu namwacha akiwa kiziwi milele
Hatari sana, na ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa.He's a criminal so far!
Two wrongs don't make one right
Siku yako ipo!Safi sana chalamila hakuna kucheka na wajinga , Mimi mwizi hua namuwekea mafuta ya taa masikioni nahakikisha yameingia vizuri halafu namwacha akiwa kiziwi milele
Mahali flani flani pengine huyo kiongozi angejiuzuru haraka sana kwa kauli hizo.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam
RC Chalamila amesema hayo katika ufunguzi wa kongamano la 10 la Jotoardhi linalooendelea katika ukumbi wa mikutano wa JNICC, jijini Dar es salaam, lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Oktoba 23, 2024.
View attachment 3133318
Pia Soma
Mkuu wa Mkoa Chalamila: Wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuta yake
Mkuu wa mkoa wa dar es salaam ataka wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuga yake hadi wafe. --- Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa wizi wa transfoma' za umeme unafanywa na vijana ambao wanafahamu kazi zake, kwani hakuna anayeweza kuziiba akiwa hajui namna ya...www.jamiiforums.com
Kiongozi wa umma anapaswa kufanya jambo lolote kwa mujibu wa sheria. Alichokifanya huyu mkuu ni arbitrary power, ambayo si sifa ya kuwa kiongozi wa umma. Kiongozi ukifundisha unaowaongoza kufanya mambo arbitrarily na wao wakianza kufanya hivyo ni sahihi? Kuna mambo hayako sawa kabisa!Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam
RC Chalamila amesema hayo katika ufunguzi wa kongamano la 10 la Jotoardhi linalooendelea katika ukumbi wa mikutano wa JNICC, jijini Dar es salaam, lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Oktoba 23, 2024.
View attachment 3133318
Pia Soma
Mkuu wa Mkoa Chalamila: Wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuta yake
Mkuu wa mkoa wa dar es salaam ataka wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuga yake hadi wafe. --- Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa wizi wa transfoma' za umeme unafanywa na vijana ambao wanafahamu kazi zake, kwani hakuna anayeweza kuziiba akiwa hajui namna ya...www.jamiiforums.com
Polepole ile roho itajulikana tuMkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam