RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam

RC Chalamila amesema hayo katika ufunguzi wa kongamano la 10 la Jotoardhi linalooendelea katika ukumbi wa mikutano wa JNICC, jijini Dar es salaam, lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Oktoba 23, 2024.
View attachment 3133318

Pia Soma

Tanzania ni mkiukaji mkubwa sana wa haki za binadamu
 
Huyu mtu kweli kichwani bado Yuko mzima???
Mtu kuugua kichaa siyo lazima mpaka avae chupi kichwani, wakati mwingine matendo au maneno yake tu ni uthibitisho tosha kuwa mtu fulani anaugua kichaa.
Nilicho jifunza, wa Tz tunapenda kudanganywa. Huyu bwana amesema ukweli
 
Kwa mara nyingine dar wamepata rc mwenye changamoto ya afya ya akili
 
Safi sana chalamila hakuna kucheka na wajinga , Mimi mwizi hua namuwekea mafuta ya taa masikioni nahakikisha yameingia vizuri halafu namwacha akiwa kiziwi milele
Binafsi Chalamila simpendi lakini kwenye hili namuunga mkono..... Jitu limeiba mafuta ya transformer sisi tunakosa umeme wa kufanyia kazi mpaka tunalala na njaa halafu huyo mwizi tucheke nae it's big no...
 
Safi sana chalamila hakuna kucheka na wajinga , Mimi mwizi hua namuwekea mafuta ya taa masikioni nahakikisha yameingia vizuri halafu namwacha akiwa kiziwi milele
Siku yako ipo!
 
Kwa hiyo mnataka kusema kwamba mwizi akikamatwa na hela ajaziwe tele mifukoni mwake! Kwani kazi ya mahakama ni nini mpaka kuwahukumu wezi mitaani?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam

RC Chalamila amesema hayo katika ufunguzi wa kongamano la 10 la Jotoardhi linalooendelea katika ukumbi wa mikutano wa JNICC, jijini Dar es salaam, lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Oktoba 23, 2024.
View attachment 3133318

Pia Soma

Mahali flani flani pengine huyo kiongozi angejiuzuru haraka sana kwa kauli hizo.
 
Kesho unamuona anakemea tukio la raia kuua mpenzi wake aliyemkataa baada ya kumsomesha au ndo itakuwa kwa sababu huyo mwanamke hajamuibia transfoma jamaa yake
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam

RC Chalamila amesema hayo katika ufunguzi wa kongamano la 10 la Jotoardhi linalooendelea katika ukumbi wa mikutano wa JNICC, jijini Dar es salaam, lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Oktoba 23, 2024.
View attachment 3133318

Pia Soma

Kiongozi wa umma anapaswa kufanya jambo lolote kwa mujibu wa sheria. Alichokifanya huyu mkuu ni arbitrary power, ambayo si sifa ya kuwa kiongozi wa umma. Kiongozi ukifundisha unaowaongoza kufanya mambo arbitrarily na wao wakianza kufanya hivyo ni sahihi? Kuna mambo hayako sawa kabisa!
 
Hakuna kuipaka pilipili siaga na chocolate,,,,😁😁😁..chalamila kawalambisha pilipili kama ilivo
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam

RC Chalamila amesema hayo katika ufunguzi wa kongamano la 10 la Jotoardhi linalooendelea katika ukumbi wa mikutano wa JNICC, jijini Dar es salaam, lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Oktoba 23, 2024.
View attachment 3133318

Pia Soma

Polepole ile roho itajulikana tu
 
Back
Top Bottom