Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Tunakanyagia mayeboyebo mpaka visigino vinaumuka. Mtuonee huruma.Andika facts basi kama mtu aliyepita shule.
Yupo asiyeujua mlango wa Kanisa still anavaa yeboyebo.
Unaweza ukawa na hoja ila unavyoiwasilisha sivyo,tulia andika sema unataka nini?
Jibu swali wewe, wakatoliki sio ma-zero brain acha kujitia aibu yaani swali dogo km hilo unajizungusha kulijibu?Unauliza swali la kipuuzi halafu unategemea nitakujibu nini? Unaongelea habari ya Askofu Kikaini kuulizwa swali kwenye kipindi cha redio! Halafu unataka nikujibu, kana kwamba tulikuwa wote kusikiliza hicho kipindi!
Kwani hata ukizikwa kwa matarumbeta na misululu wa magari, itasaidia nini na wakati tayari wewe ni mfu?Kwanini mnakataa kutuzika kisa sadaka!
Acheni uhuni bas
Tate jibu swali.Unauliza swali la kipuuzi halafu unategemea nitakujibu nini? Unaongelea habari ya Askofu Kikaini kuulizwa swali kwenye kipindi cha redio! Halafu unataka nikujibu, kana kwamba tulikuwa wote kusikiliza hicho kipindi!
Jijibu mwenyewe basi, ili kuhitimisha huu mjadala. Maana hata watu wengine watakuwa wanakushangaa!Jibu swali wewe, wakatoliki sio ma-zero brain acha kujitia aibu yaani swali dogo km hilo unajizungusha kulijibu?
Jijibu mwenyewe basi, ili kuhitimisha huu mjadala. Maana hata watu wengine watakuwa wanakushangaa!
Kipindi usikilize mwenyewe, redio uliyotumia kusikilizia hicho kipindi unainua mwenyewe! Tarehe na muda wa kurushwa hicho kipindi, unaijua mwenyewe!
Halafu unalazimisha nijibu kitu nisicho kielewa! Nadhani utakuwa na undugu na GENTAMYCINE! Siyo bure.
Mmeishiwa hoja bila shaka.Tate jibu swali.
Haya, jibu ni hili hapa; Sijui.Swali langu limeuliza unajua alijibu nini?
Km unajua sema najua
Km hujui sema sijui
Majibu ni hayo tu sio zaidi ya hapo
Mengineyo unayoyasema unajitia aibu tu kujifanya unajua kumbe hakuna unachokijua hata hufuatilii masuala ya kanisa lako hufuatilii, unachojua ni kutoa michango tu ni kujionaona wewe ndio mkamilifu wengine sio kitu kwako
Basi acha kujifanya unajua mengi alafu naweza nikawa nabishana na katoto ka miaka 17/18 hapa bila kujua, emu ngoja nijiweke pembeni mambo yasiwe mengi bado haujakomaa endelea kukuaHaya, jibu ni hili hapa; Sijui.
Issue sio kushiriki wewe nawe huelewi mambo haya kabisa yaani, you people don't understand at allhakuwa mshiriki wa jumuiya Wala kanisani
Haya tumekuskia, kuna lingine au yameisha kwa leo..?Kwa sasa nyumba nyingi za ibada zinakimbiwa na waumini, hii unatokana waumini kuchoshwa na mienendo ya kanisa ambayo ni tofauti na lilichoachwa na mitume.
Jumuia inabaki na wabibi tena wachache sana hata kupita mtaani kupeleka msalaba nyumba nyingine wanaona aibu.
MAMBO YANAYOCHOSHA
Nipokuwa katoliki sikuweza kufungua Biblia wala kuielewa mpaka nilipochukua hatua mwenyewe.
Mafundisho mengi ya uongo, hii imefanya waumini kuanza kuichunguza Biblia ili kupatanisha na mafundisho yanapoonekana ni tofauti wengi wanakata tamaa na kuhamia sehemu nyingine au kuchana na kanisa kabisa.
ULAFI WA VIONGOZI WA KIROHO
Kiongozi wa dini anafundisha upendo lakini yeye akiwa mbinafsi na Asiyejali.
UBAGUZI
Waliopewa dhamana wanaangalia zaidi maslahi kuliko kondoo, mwenye pesa ndio huzikwa na Padri hata kama hakuwa muumini, asiye na pesa atazikwa na jumuiya tu.
MICHANGO MINGI.
Hii toa toa tu ya ulichonacho kimekatisha wengi tamaa, kutoa sadaka kwa mstari kunapunguza waumini sababu kuna mengine weenda kusikiliza neno lakini hawana chochote, anapobaki kwenye benchi anaaibika na siku nyingine haji.
USIRI NA KULINDANA
Kuna vitendo vingi sana vya unyanyasaji kingono vinavyofanywa na mapandri dhidi ya vijana wadogo, mapadri kuzaa na masista kisiri, mapadri kuwa na watoto mitaani na hakuna hatuwa wanayochukuliwa.
Kilichobaki kwenye hizi dini kubwa ni kurithishana dini tu wala si mafundisho tena,ukizaliwa romani basi na ww ni mroma, ukizaliwa uislamu na ww utakuwa muislamu lakini mafundisho halisi ya dini yako unakuwa hujui hata kidogo,hata kuitetea imani inakupa tabu.
Ombeni nanyi mtapewa,Tafuteni nanyi mtapata, TAFUTENI KWELI MTAKUWA HURU.
Kwa nini usikubali tu mungu ni uoga tu na ujinga wa binadamu na dini ni ulaghai wa binadamu.Kwa sasa nyumba nyingi za ibada zinakimbiwa na waumini, hii unatokana waumini kuchoshwa na mienendo ya kanisa ambayo ni tofauti na lilichoachwa na mitume.
Jumuia inabaki na wabibi tena wachache sana hata kupita mtaani kupeleka msalaba nyumba nyingine wanaona aibu.
MAMBO YANAYOCHOSHA
Nipokuwa katoliki sikuweza kufungua Biblia wala kuielewa mpaka nilipochukua hatua mwenyewe.
Mafundisho mengi ya uongo, hii imefanya waumini kuanza kuichunguza Biblia ili kupatanisha na mafundisho yanapoonekana ni tofauti wengi wanakata tamaa na kuhamia sehemu nyingine au kuchana na kanisa kabisa.
ULAFI WA VIONGOZI WA KIROHO
Kiongozi wa dini anafundisha upendo lakini yeye akiwa mbinafsi na Asiyejali.
UBAGUZI
Waliopewa dhamana wanaangalia zaidi maslahi kuliko kondoo, mwenye pesa ndio huzikwa na Padri hata kama hakuwa muumini, asiye na pesa atazikwa na jumuiya tu.
MICHANGO MINGI.
Hii toa toa tu ya ulichonacho kimekatisha wengi tamaa, kutoa sadaka kwa mstari kunapunguza waumini sababu kuna mengine weenda kusikiliza neno lakini hawana chochote, anapobaki kwenye benchi anaaibika na siku nyingine haji.
USIRI NA KULINDANA
Kuna vitendo vingi sana vya unyanyasaji kingono vinavyofanywa na mapandri dhidi ya vijana wadogo, mapadri kuzaa na masista kisiri, mapadri kuwa na watoto mitaani na hakuna hatuwa wanayochukuliwa.
Kilichobaki kwenye hizi dini kubwa ni kurithishana dini tu wala si mafundisho tena,ukizaliwa romani basi na ww ni mroma, ukizaliwa uislamu na ww utakuwa muislamu lakini mafundisho halisi ya dini yako unakuwa hujui hata kidogo,hata kuitetea imani inakupa tabu.
Ombeni nanyi mtapewa,Tafuteni nanyi mtapata, TAFUTENI KWELI MTAKUWA HURU.
Mkuu nilifikiria unataka kukataa yaliyosemwa,kumbe unakiri ni kweli ila wewe hata iweje hutoki ng'ooMimi mkatoliki na nitabaki kuwa mkatoliki na ninafurahi mno kuzaliwa na wazazi wakatoliki. Ukatoliki raha sana.
Naomba nitajie hiyo michango mingine na mimi niifahamu!!!Usitufanye km sisi hatujakulia maisha ya Jumuiya yooote unayoyaeleza tunayajua, kinacholalamikiwa hapa ni Michango mingi kwenye Jumuiya enzi za zamani michango ilikua ni Zaka, Sadaka na Vipaji tu hakukua na michango mingine tofauti na hio
Uko sahihi kabisa. Watoto wa siku hizi mkiota tu nywele za kwenye makwapa na huko chini, kinachofuatia baada ya hapo ni dharau tu kwa kila aliye mbele yako.Basi acha kujifanya unajua mengi alafu naweza nikawa nabishana na katoto ka miaka 17/18 hapa bila kujua, emu ngoja nijiweke pembeni mambo yasiwe mengi bado haujakomaa endelea kukua
Tate Mkuu hilo ndilo jibu alilotoa Askofu Methodius KirainiUnataka maendeleo ya kanisa pesa atoe nani? Zamani kanisa katoliki lilikuwa na wafadhili wazungu
Wewe unataka tu malumbano ya kijinga. Hivyo kunyamaza pia ni busara. Unalazimisha nimsikilize Askofu Kilaini kwenye radio, as if na mimi nina huo muda wa kusikiliza redio kama wewe.Tate Mkuu hilo ndilo jibu alilotoa Askofu Methodius Kiraini
Kua mfuatiliaji wa masuala ya kanisa lako kwa umakini hata km ikitokea unauzwa maswali madogo unakua na upeo mpana wa kujibu na sio kuropoka ovyo unaonekana km mtoto tu