RC Hapi: Jumamosi ya pili ya kila Mwezi itakuwa ni siku ya kufanya mazoezi watumishi wa umma na Wananchi wote mkoa wa Iringa

RC Hapi: Jumamosi ya pili ya kila Mwezi itakuwa ni siku ya kufanya mazoezi watumishi wa umma na Wananchi wote mkoa wa Iringa

Kwani kisukari kina sababishwa na nini?
 
Mkuu wa mkoa wa Iringa Salum Happi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.

Kufuatia hali hiyo RC Happi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya mazoezi ya Umma ambapo watumishi wote na wananchi kwa ujumla watapaswa kufanya mazoezi.
Watakaopuuza hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
SIFANYI
 
Kapigwa chini .. akili zinaanza kumrudia
Hili halina ukweli mkuu,

Kipindi kile tuliwavumilia labda kwa kuwa ni wageni kwenye nafasi zao lakini hii tabia ya kila kiongozi kutoa matamko yake inafanya tuonekane kama watu tusiokuwa na vipaumbele.

Sio afya kila mtu akiamka anakuja na lake, tunapaswa kujua direction yetu as a nation ili iwe rahisi kufuatilia na kujua wapi tumekwama na suluhu yake nini.

That's all.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kidikteta UCHWARA kingine na hili litafeli tu. Eti hatua za kisheria zitachukuliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]atawafukuza kazi au kuwaweka rumande? MPUUZI kweli huyu!

mimi nimecheka ya Mtwara huko lazima kumiliki mashamba[emoji23]
Makonda alikuwa na akili timamu japo mlimuona chizi
 
Hili halina ukweli mkuu,

Kipindi kile tuliwavumilia labda kwa kuwa ni wageni kwenye nafasi zao lakini hii tabia ya kila kiongozi kutoa matamko yake inafanya tuonekane kama watu tusiokuwa na vipaumbele.

Sio afya kila mtu akiamka anakuja na lake, tunapaswa kujua direction yetu as a nation ili iwe rahisi kufuatilia na kujua wapi tumekwama na suluhu yake nini.

That's all.
Mbona waliyowateua wako kimya
Hii inamaanisha wanafurahishwa na vitendo vyao.

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mbona waliyowateua wako kimya
Hii inamaanisha wanafurahishwa na vitendo vyao.

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Naamini MH. Rais atalifanyia hili kazi kwakua nalo limeanza kuota mizizi na si jambo jema sana.

Karne hii ya 21 kuchapana viboko si busara wakati tumeshastaarabika kiwango cha kuwa na mahakama zetu.

Nadhani ipo haja ya hili kukemewa, hata kama si publicly hata kwa barua tu itatosha.
 
nilisikia waziri mkubwa naye aliwahi kuchapa viboko walimu
 
Back
Top Bottom