Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa....... Ndugulile siyo wa mchezo mchezo!Dsm chupu chupu watiwe vidole kupimwa tezi dume, washukuriwe mashujaa wa kigamboni
Kwani kisukari kina sababishwa na nini?
Kutofanya mazoezi!Kwani kisukari kina sababishwa na nini?
SIFANYIMkuu wa mkoa wa Iringa Salum Happi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.
Kufuatia hali hiyo RC Happi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya mazoezi ya Umma ambapo watumishi wote na wananchi kwa ujumla watapaswa kufanya mazoezi.
Watakaopuuza hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Usipende kumlinganisha Lissu na upuuzi na ujinga!Kama Tundu Lisu!
Kulazwa makaburini ilikuwa lugha laini ya staha, kilichotokea ni zaidi ya maelezoAsijisahau sana, atalazwa tena makaburini
Kule Mtwara wameagizwa kuwa na mashamba ya korosho,
Arusha kule ni viboko tu,
Haya yetu macho.
Hili halina ukweli mkuu,Kapigwa chini .. akili zinaanza kumrudia
Mazoezi tatiz nyie mnachukulia juu juuKutofanya mazoezi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kidikteta UCHWARA kingine na hili litafeli tu. Eti hatua za kisheria zitachukuliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]atawafukuza kazi au kuwaweka rumande? MPUUZI kweli huyu!
mimi nimecheka ya Mtwara huko lazima kumiliki mashamba[emoji23]
Makonda alikuwa na akili timamu japo mlimuona chizi
Wote hao ni wendawazimu tu hata bashite.
Mbona waliyowateua wako kimyaHili halina ukweli mkuu,
Kipindi kile tuliwavumilia labda kwa kuwa ni wageni kwenye nafasi zao lakini hii tabia ya kila kiongozi kutoa matamko yake inafanya tuonekane kama watu tusiokuwa na vipaumbele.
Sio afya kila mtu akiamka anakuja na lake, tunapaswa kujua direction yetu as a nation ili iwe rahisi kufuatilia na kujua wapi tumekwama na suluhu yake nini.
That's all.
Mtu mzima unalambwa[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu[emoji23] hii misukule ya sasa hivi ni balaa mi nakwambia alafu ndani ya si chini ya siku 5 vimetokea vituko vikubwa sana nchini.
ila wale jamaa waliochapwa na Mwanamke wametudhalilisha mno wanaume
Naamini MH. Rais atalifanyia hili kazi kwakua nalo limeanza kuota mizizi na si jambo jema sana.Mbona waliyowateua wako kimya
Hii inamaanisha wanafurahishwa na vitendo vyao.
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mtu mzima unalambwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Naamini MH. Rais atalifanyia hili kazi kwakua nalo limeanza kuota mizizi na si jambo jema sana.
Karne hii ya 21 kuchapana viboko si busara wakati tumeshastaarabika kiwango cha kuwa na mahakama zetu.
Nadhani ipo haja ya hili kukemewa, hata kama si publicly hata kwa barua tu itatosha.