RC Hapi: Jumamosi ya pili ya kila Mwezi itakuwa ni siku ya kufanya mazoezi watumishi wa umma na Wananchi wote mkoa wa Iringa

Hapo ndio ujue ule wizi wa kura wa ccm ilikuwa ni dhambi ya kukaribisha aibu, fedheha na ukatili kwa taifa.
Uchaguzi umeshakwisha mkuu,

Sasa hivi tunawekana sawa tu kuhakikisha tunakuwa kwenye ukurasa mmoja.

Watendaji wa serikali wanatakiwa kutumia nafasi zao vyema kwa manufaa yetu sisi wananchi tuliowapa hizo dhamana.
 
Umenena vema mkuu!
 
Wako madarakani kwa kura halali? Wao wanaoongoza kwa mujibu wa mtazamo yao na sio yenu nyie wananchi ambao sio mliowachagua bali nguvu za dola.
 
Wanaambiwa wawe wabunifu haya ndio matokeo yake
Nchi inataka ajira na kipato ila hapo ndio anaona pato litaongezeka
 
Uchaguzi umeshakwisha mkuu,

Sasa hivi tunawekana sawa tu kuhakikisha tunakuwa kwenye ukurasa mmoja.

Watendaji wa serikali wanatakiwa kutumia nafasi zao vyema kwa manufaa yetu sisi wananchi tuliowapa hizo dhamana.
Hapa kazi tùuuu[emoji23][emoji23]

Ova
 
Happi fanya mpango watu wapate elimu kuwa vyakula tunavyokula ubwabwa, ugali, mikate, chapati ni carbohydrates/starch sio nzuri Inaleta weight na magonjwa Kama kisukari, and once ukinenepa to put weight off Sio jambo rahisi, mimi binafsi ni battle, napunguza uzito kilo mbili naongeza kilo nne 🤣🤣🤣😟😟😟😊😢
 
Mkuu wa mkoa wa Iringa Salum Happi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.

Kufuatia hali hiyo RC Happi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya mazoezi ya Umma ambapo watumishi wote na wananchi kwa ujumla watapaswa kufanya mazoezi.
Watakaopuuza hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Niache kwenda Kanisani Kumshukuru Muumba wangu niende ku respond Amri Haramu ki Dikteta Uchwara Chipukizi
 
Kwa hiyo watu wasiende kwenye ibada au kwenye mishe zao kutokana na kubanwa na ratiba za kazini j'tatu hadi ijumaa wakakimbizane kama wehu!? Kama yuko serious kwa nini asiteue siku ya ijumaa....aliyemwambia kisukari kinazuiwa kwa mazoezi ya siku moja kwa mwezi ni nani? au ndo kutafuta kiki kwa pikipiki...
 
Mkuu wa mkoa wa Iringa Salum Happi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.

Kufuatia hali hiyo RC Happi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya mazoezi ya Umma ambapo watumishi wote na wananchi kwa ujumla watapaswa kufanya mazoezi.
Watakaopuuza hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!

Mkuu wa mkoa wa Iringa Salum Happi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.

Kufuatia hali hiyo RC Happi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya mazoezi ya Umma ambapo watumishi wote na wananchi kwa ujumla watapaswa kufanya mazoezi.
Watakaopuuza hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Mavi yake hatua kali za kisheria !! Sheria ipi? Hapi naye aache ujinga wakati mwingine ningekuwa iringa siendi halafu nione hiyo hatu ya kisheria atayo nichukulia kuna vijitu vingine vipuuzi sana
 
Jumamosi ni sabato ya bwana siku ya saba ya Juma,ambapo tunamuabudu Mungu ktk roho na kweli, This RC should respect faith and belief of others,God is bigger than our different careers,
 
Mazoezi ni hiyari, ukilazimishwa inakua adhabu.
Kwa ushauri kabla hajaianza hiyo program ahakikishe wakazi wake wana uhakika na Milo mitatu Kwa siku.
Mazoezi rafiki yake chakula bora.
 
Kwa hiyo watu wasiende kwenye ibada au kwenye mishe zao kutokana na kubanwa na ratiba za kazini j'tatu hadi ijumaa wakakimbizane kama wehu!? Kama yuko serious kwa nini asiteue siku ya ijumaa....aliyemwambia kisukari kinazuiwa kwa mazoezi ya siku moja kwa mwezi ni nani? au ndo kutafuta kiki kwa pikipiki...
Ijumaa ni siku ya ibada kwa waislamu!
 
Back
Top Bottom