darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Mazoezi nafanya kila siku jioni, lakini anachokifanya huyu bwana mdogo ni kutafuta kiki.Wewe hutaki kufanya mazoezi kwa mujibu wa sheria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazoezi nafanya kila siku jioni, lakini anachokifanya huyu bwana mdogo ni kutafuta kiki.Wewe hutaki kufanya mazoezi kwa mujibu wa sheria?
Kwa sheria ipi na kwa kifungu gani?!!!!Mkuu wa mkoa wa Iringa Salum Happi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.
Kufuatia hali hiyo RC Happi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya mazoezi ya Umma ambapo watumishi wote na wananchi kwa ujumla watapaswa kufanya mazoezi.
Watakaopuuza hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Sheria ya usalama wa afya!Kwa sheria ipi na kwa kifungu gani?!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aanze yeye kwanza sisi tutamaliziaSheria ya usalama wa afya!
Yeye ameshaanza jana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aanze yeye kwanza sisi tutamalizia
Kule Mtwara wameagizwa kuwa na mashamba ya korosho,
Arusha kule ni viboko tu,
Haya yetu macho.
Hahahaah maeneo Majembe Kuelekea MgongoKama namuona mchungaji Msigwa akiongoza mazoezi kule Kihesa!
Walivyo na fikra fupi wanadhani mazoezi ni kukimbia tu kama wehu mabarabarani. Mazoezi mengine hufanyika nyumbani si lazima uende katika viwanja vya michezo.Mazoezi ya viungo endelevu, ndio yanaweza kuweka miili yetu sawa.
Pia lishe bora nayo ni changamoto.
Kunywa maji ya kutosha kama lita 3 kila siku.
Pia body massage inapunguza tension at least once month kama wafanyavyo South East Asia.
Ventilation ya kutosha kazini na nyumbani.
Usafi wa mazingira yaliokuzunguka.
AiseeKutofanya mazoezi!
[emoji3][emoji3][emoji3]Kulazwa makaburini ilikuwa lugha laini ya staha, kilichotokea ni zaidi ya maelezo
Hiki kitoto kinakurupuka tena..
Jumamosi ni siku ya mapumziko
Angekuwa serious angefanya siku ya kazi
Unataka kusema nini?LLB (UDSM), MBA (UDSM)....ndo wasomi wetu hao!
Usomi bila exposure ni sawa na mpira wa chandimu sembo uufanyie dribbling.LLB (UDSM), MBA (UDSM)....ndo wasomi wetu hao!