RC Iringa na maandamano ya feki ya wakulima Iringa kumpongeza Rais Samia

Asimsahau Ally Hapi katika list ni mkulima bora kabisa mfano wa vijana nchi wa kuigwa anatekeleza sera ya kujiajiri.
 
Ule ujinga wa enzi za awamu ya 5 unarudi kwa kiwango cha kijinga tena.
 
Jiwe na Bashiru ndio alikuwa mwasisi wa hizi tabia, kwa hiyo copy & paste hapo.
Tunafanya kile jiwe alichotufundisha.
Samia mbele kwa mbele, asiyekutaka akajizike chato pembeni
 
Ningependa kuona wakulima wa korosho hasa makonde wanambiwa habar hizi nione kinachotaka kutokea,Kama ges tu ilikuwa vile ambayo hawajui inakuje mpaka kutumika.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Hata mjinga anajua kabisa haya maandamano ya wakulima ya kumpongeza mama Samia baada ya kuzinguliwa na Bashiru, ni utapeli wa mchana kweupe.
Ila Mama anazingua, kabisa anajua wanamlamba kisogo yeye anaona anaupiga mwingi!
 
Leo nawaelezakile am.acho. nimekishuhidua na kukwazika nacho leo kwa upuuzi wa ajabu wa huyu mama alichotufanyia leo wakulima wa mkoa wa Iringa.

Ni hivi, jana mchana nilipigiwa simu na bwanashamba wa hapa kata moja ya hapa Iringa Manispaa kuwa RC anatuhitaji wakulima 20 toka Manispaa ya Iringa kuwa kuna ujumbe wa Rais toka Ikulu Dar wanataka kuongea nasi.

Pia akatueleza kuwa wakulima tunaohitajika ni zaidi ya mia toka Mkoa wa Iringa na wengine wanatoka Halmashauri nyingine ili hao watu wa kutoka Ikulu waje kuongea nasi. Tuliambiwa saa 2 kamili asubuhi tuwe pale Ofisi ya RC Iringa.

Kuwa nimepewa heshima na bahati kama mmoja wapo wa Wakulima watakao hojiwa na maafisa wa Ikulu. Binafsi nikaona hii ndio Fursa kwani kwa ujana huu na ukosefu wa ajira pamoja na kumaliza degree yangu nitalamba asali na mie.

Nilikuwa leo na ratiba ya kumwagilia miche yangu ya nyanya asubuhi. Pia nilipanga leo niandae shamba kwa ajili ya kilimo cha Nyanya za mwezi wa 12 nipige pesa mwezi wa tatu.

Leo Asubuhi nikatoka zangu home nimetupia na mama akanishangaa kwanini nimetupia kwani alijua naenda shamba, akanishangaa. Nikamueleza kuhusu wito na nikamuaga naenda ofisi ya RPC kuwa nimealikwa na RC kuna ujumbe wa maafisa wa Ikulu wanashida nami. Mama akafurahi pale nami nikaenda huko kwenye tukio.

Kufika pale saa 1:45 nikaona wakulima wengine wa Mufindi, Mafinga, Kilolo na wa Iringa wanakuja. Tukakusanyika pale maana tuliambiwa hao maafisa watatufuata pale. Nikashangaa tunaambiwa tuingie ndani ya geti la ofisi ya RC.

Wote tukaanza tembea kwenda kule, hahaaaaaa, wenzetu wakaanza inua mabango waliyonayo. Ni naona mapichapicha pale, hahaaaaa yule RC aliyekuwaga Barmaid katika na kutupokea pale na wakuu wa wilaya na Mayor wetu wa Iringa.

Pumbavu kabisa yule Barmaid, akaanza kuhutubia kuwa "Eti sisi wakulima wa Iringa tumeandamana kwa hiari yetu kuja kumuunga mkono Rais eti aachane na maneno ya hao watu wa hovyo. Eti tupo pamoja naye na Mama anaupiga mwingi".

Hahaa! Kweli nilikwazika kwani niliacha kazi na ratiba zangu kuja kutumiwa kwenye upuuzi. Yaani wananipotezea muda wangu kwa ajili ya ujinga wao. Yaani kwa aina hiyo ya viongozi, hatutaendelea kamwe na tutazidi kuwa maskini.

Tumempotezewa muda wetu, tumepotezewa pesa ambazo kimsingi hawajatupa nauli labda hao wakutoka bush isimani na Dabaga au Mdabulo huko.

Hawajatupa hata chai wajinga wale na zaidi tuliambiwa tufike saa 2 ila RC akajitokeza saa 4 kuongea nasi kisha akasema yeye anashughuli nyingine so akatuacha pale na Makunga mengine.

Nilishindwa kupiga picha maana walikuwa wakali ila taarifa hii itarushwa leo jioni kwenye vyombo vya habari. Mtaiona. Hiyo picha ni wenzetu wa Manyara nao walifanyiwa hivi.

View attachment 2426282
Unajuaje Kama Ni maandamano feki?
 
Pole Sana mkuu kwa kuharibiwa ratiba zako dah siyo POA kbsa

Bora ungeleta furugu kubwa Hadi washangae kuwa imekuaje dah nisingekubali kutumika na wanasiasa
 
Jiwe na Bashiru ndio alikuwa mwasisi wa hizi tabia, kwa hiyo copy & paste hapo.
Tunafanya kile jiwe alichotufundisha.
Samia mbele kwa mbele, asiyekutaka akajizike chato pembeni
Una mwona huyu malaya bado anamkumbuka Mwendazake wakati yuko mbinguni ametulia zake. Wewe malaya endelea na umalaya wako tu hakuna atakayekuzuia kwenye hobby wako.
 
Kajizikeni chato!
Mlimgeuza mungu wenu.....
Mlimwabudu, mlimsifu, mlimfananisha na yesu.....

1.5 trillions ziko wapi? Hatatokea rais mwizi kama MAGU
 
Back
Top Bottom