Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huwezi kutafuta tiba na mtu ambaye ana amini kuwa yeye ndiyo na akili pekee, haya mambo wapinzani walisema sn wakaambiwa siyo wazalendo wanatumwa na mabeberu, leo yako wapi?Tusiwalaumu mkuu tutafute tiba kwa pamoja
Tusishikane mashati kila muda mara chadema mara CCM tuwe na mawazo huru ili tuweze kusonga mbele tufute kwenye akili zetu uchadema na ucccm pia ukabila tuachane nao havita jenga uchumi wa taifa letu !Tatizo la Chadema ilikuwa kupinga tu kila kitu ndio maana tulikuwa hatutaki hata kuwasikiliza.Jitu gani ambalo kutwa ni kupinga tu
Hawawezi kutamka serikali lazima atafutwe wa kuangushiwa jumba bovu.TRA ipo chini ya CHADEMA?
Brother hivi kweli hujui kilichosababisha Dubai ya Tz kuporomoka?? Lakini nakusifu japo umeonyesha concern ukiwa ndani ya Serkali hii hiiMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Kuna ile ya Kisutu (KRA), kuna ile ya DPP, kuna ile ya Police, ipo ile ya halmashauri nk nk.Hahahaaaa...... Kwani TRA ziko ngapi?
Kweli mkuu ila kwa sasa tusiwalaumu tuzidi kushauriana muda ni mchache ila tunaweza kusonga mbele na kufika mbali zaidiHuwezi kutafuta tiba na mtu ambaye ana amini kuwa yeye ndiyo na akili pekee, haya mambo wapinzani walisema sn wakaambiwa siyo wazalendo wanatumwa na mabeberu, leo yako wapi?
Acha kuruka ruka km popcorn, sema chanzo cha tatizo straight away..Karuakoo ilikuwa ukiwa dola iliyochakaa kabisa ambayo hakuna benki au duka lolote la pesa za kigeni waweza kuikubali ilikuwa ukienda kariakoo maduka ya kawaida tu inapokekewa bila shida yoyote wanakubadilishia tena kwa rate nzuri kabisa
Wakandarasi wa finance and building!Hawawezi kutamka serikali lazima atafutwe wa kuangushiwa jumba bovu.
Kwa wenye uelewa tuliona hili mapema linakuja, ukiwa na kiongozi anayetuhumu madaktari kuiba dawa ambazo hata hazipo, anatuhumu walimu kwa wanafunzi kufeli wakati wana madai lukuki, hamna vifaa vya kufundishia, wamerundikiwa mavipindi, darasa moja wanafunzi 100+, analaumu ufisadi na wakati yeye ni kinara, anakemea rushwa kinafiki nk nk.
Sasa ni zamu ya TRA kulaumiwa baada ya serikali kubeba sifa za kijinga za kuvuka malengo ya makusanyo kila mwezi, soon yale mamiradi yao wataanza kuwalaumu wakandarasi ni suala la muda tu!!
CCM ni slow thinkers, huwachukua muda mrefu kuelewa. Wengi wao ni low IQ. Wenye akili waliona toka pale business community ipoanza kuwa garassed. Watu waliyaona hayo 2016, CCM leo 2021 ndiyo wanaanza kuyaelewa ambayo wenzao waliyaona miaka 5 iliyopita.Haya mambo yameongelewa sana na wapinzani wakawaita kila aina ya majina ya kejeli na fedheha, sasa wameanza na wao kuongea ukweli. Lilikuwa ni swala la Muda tu.
Usicho kielewa ni kuwa watu wengi wanao jishughulisha na shughuli rasmi wako kinyume na sera za hii serikali kwa kuwa wanakutana na madhara yake. Sasa kwa akili zenu mbovu wakilalamika kuumizwa na hizi sera mnawaita wapinzani.Tatizo la Chadema ilikuwa kupinga tu kila kitu ndio maana tulikuwa hatutaki hata kuwasikiliza.Jitu gani ambalo kutwa ni kupinga tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Wakandarasi wa finance and building!
Ulimsikia Kimei jana? Uchumi wa Tanzania umekuwa overstated. Ina maana wanapika data.TOP 10 RICHEST AFRICAN COUNTRIES IN 2020 RANKED BY GDP & PRIMARY EXPORTS
1.Nigeria[emoji1184]
2.south Africa[emoji1221]
3.Egypt[emoji1093]
4. Algeria [emoji1026]
5.Morocco[emoji1173]
6.kenya[emoji1139]
7.Angola[emoji1029]
8.Ethiopia [emoji1098]
9.Ghana [emoji1110]
10.Tanzania [emoji1241]
Hahahaaaa....... Tumeingia choo cha kike bwashee![emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi bwashee, kweli hawa ndio wabunge mlikuwa mnahangaika kuwapitisha bila kupingwa?
Uchumi hoi bin taabani hiyo ndiyo sababu ya nchi inaongozwa na washamba na malimbukeniMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Chadema ndiyo waliosababisha soko life??CHADEMA wamekaa kimya, wameanza kutafutana uchawi
Rudini mkatubu bwashee, mnaleta maafa kwa watu wa Mungu zaidi ya 60m kwa kujifurahisha wachache pamoja na 'wahuni' wanao washangilia?!Hahahaaaa....... Tumeingia choo cha kike bwashee!
unapesa za kuwahonga IMF wewe! Ili wakupikie data??!! Zzzzyuuuuuuu!Ulimsikia Kimei jana? Uchumi wa Tanzania umekuwa overstated. Ina maana wanapika data.