Wewe siyo mzima. Ungeacha kwanza wenyr akili timamu wajadili.Walio kimbia soko Ni wale waliopenda shortcut,wa Congo waaminifu bado wanawndelea kuja,wamalawi waaminifu bado wanawndelea kuja,utitili wa watu wa wacongo na wamalawi mwanzo haukuwa wa tija,walikuwa wengi Tena Sana lakini walikuwa wanakuja wanachota bidhaa bulebule ,wanaondoka,kwa Sasa ukija kariakoo unachukua mizigo halali,unaacha Kodi halali,yaani ni mwendo wa win win stuation.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CHADEMA wamekaa kimya, wameanza kutafutana uchawi
ofcoz ,but in positive way!! no frauds,no robbery.Things will never be the same again
Huelewi data zinavyokusanywa. IMF hawafanyi kazi ya kukusanya data za kila siku bali hutumia data ambazo mnawapa.unapesa za kuwahonga IMF wewe! Ili wakupikie data??!! Zzzzyuuuuuuu!
Na ndiyo hao tatizo kubwaNi TRA ndie kaua Kariakoo
Na ndiyo Ukweli wenyeweMkuu wa mkoa asihangaike na watendaji mchawi ni TRA
Ni mpambano mkali.Mabeberu
Wazalendo
Wapiga dili
Naona unakazana kuhamisha magoli. Tufanye kuwa mmeshinda kwa kishindo hakuna fraud yoyote, case closed!!Sasa Lisu alikuja kupoteza muda wake bure wakati akijua wapiga kura wengi ni wajinga na wengi ni CCM sasa alitegemea atapita? mnalaumu tume bure
kabisaaa.tena tamuHata nyuki akiacha ujinga hutengeneza asali.
Mchawi yupo humu, TRA ni watumwaji tu. Maana TRA ipo miaka yote, kwa nn mambo haya tuyaone miaka hii michache.Mzee wangu ref Tax administration act 2015 humo utakuta mafuvu na vichwa vya wafanyabihashara wote. Hence hakuna cha kufanya maana bunge na serikali ndio walio pitisha hayo. End
Wewe ndio unaona tz ni nchi yetu ila ngosha anaona tz ni mali yake yeye mwenyewe,Tukiwa wakweli namna hii bila kuingiza siasa kwenye issues serious tutaiponya nchi yetu.
Kachukue Kodi sasa kwenye mbao tupu. Unakamua maziwa ulishi ng'ombe.Mafuvu mabovu nyieDuka la Mtei pale congo st limebaki mbao tupu!
hii jidipii yao sijui wanaangaliaga nini..Nigeria kila siku umeme kukatika ni kawaida na upuuzi mwingine kibao...TOP 10 RICHEST AFRICAN COUNTRIES IN 2020 RANKED BY GDP & PRIMARY EXPORTS
1.Nigeria🇳🇬
2.south Africa🇿🇦
3.Egypt🇪🇬
4. Algeria 🇩🇿
5.Morocco🇲🇦
6.kenya🇰🇪
7.Angola🇦🇴
8.Ethiopia 🇪🇹
9.Ghana 🇬🇭
10.Tanzania 🇹🇿
Sio kodi tuu na ubabe wa kijiinga na wa kishamba....mtu anasema ndio mnanidai nitawalipa taratibu mnasema hapana fungia huyoKodi, kodi, kodi.....
Hao ndo wachawi wa nchiTRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA