Chozizwa2020
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 912
- 853
Mkuu leo Mbezi/Kimara utadhani watu wako eneo la machimbo ya madini, vibanda vyenye maturubai chakavu vimetamalaki.Dar ingekuwa jiji la mfano hata sisi tukiingia tujisikie kuwa Tanzania kuna mji mzuri. Sasa hivi huko Buguruni, Ubungo, Karume, Tegeta hapana tofauti na Lindi
Mbezi na kimara hapana kwa kweli. Jiji limevamiwa.Mkuu
Mkuu leo Mbezi/Kimara utadhani watu wako eneo la machimbo ya madini, vibanda vyenye maturubai chakavu vimetamalaki.
Mkuu wa mkoa Ana Nia njema kabisa ya kuwasaidia Hawa wafanyabiashara mdogomdogo hasa wakipangiwa eneo lao maalum itapendeza Sana.
Niwaambie hao madiwani na wenyeviti wa mtaa kuwa nao Wana jukumu la kuwapanga Hawa machinga vizuri ili iwe rahisi kwao kukusanya ushuru.
Pia serikali za mitaa watoe maeneo na kuruhusu yawe magulio ya kila siku ili waweze kukusanya mapato ya kuziendesha halmashauri zao. Mbona ni kazi nyepesi Sana hasa wakiweke ukada wa kutafuta hizo cheap popularity na kuisaidia serikali kupata mapato!
Mkuu
Mkuu leo Mbezi/Kimara utadhani watu wako eneo la machimbo ya madini, vibanda vyenye maturubai chakavu vimetamalaki.
Juzi nilipita Posta kuna machinga anauza mpaka geti kuu la kuingia bank, mama lishe amewasha jiko la mkaa kwenye lami ndani ya mchoro wa zebra. Katika vitu ambavyo Mzee Jiwe alikosea ni kuwapa wamachinga uhuru uliopitiliza! Sasa hivi itamcost RC wa Dar kupanga jiji. Madiwani watamuunga mkono? Au watakuwa upande wa machinga na mama ntilie? RIP Jiwe!Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara
Chanzo: ITV habari
Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu.
Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate utaratibu. Na wawe na maeneo maalumu ya kufanyia kazi zao. Wasizagae hovyo.
Na hili tatizo ccm wanalilea kwasababu wanachagua viongozi wenye elimu mdogo imayowakosesha ubunifu na kufikiri sawasawa! Laiti wangeweka vigezo vya kupata uenyekiti wa serikali ya mtaa, diwani, mbunge na hata waziri waombe hizo nafasi wakitumia CVS zao hakika nchi yetu ingepaa kiuchumi kwani kila mwananchi angelipa Kodi!Kujali mazingira ya usafi, magonjwa, ajali bado tuko nyuma. Ubunifu mdogo.
Hii ni wapi chief?Kabisa ni kazi rahisi sana. Miundombinu ya kawaida sana. Mabati, zege au lami chini, miundombinu ya maji taka, Vyoo visafi vya kutosha, Parking, sehemu za kupakua mizigo yao na abiria.
Wanaweza wakapewa meza na kawaida sana. Kila kibanda kinakuwa na namba. Asubuhi wakilipa kiingilio wanapewa meza.
Pia magulio yawepo siku zote za wiki. Vitu kama hivi havitushindi.
View attachment 1805849
View attachment 1805851
Jiwe alikuwa kiongozi wa hovyo sanaJuzi nilipita Posta kuna machinga anauza mpaka geti kuu la kuingia bank, mama lishe amewasha jiko la mkaa kwenye lami ndani ya mchoro wa zebra. Katika vitu ambavyo Mzee Jiwe alikosea ni kuwapa wamachinga uhuru uliopitiliza! Sasa hivi itamcost RC wa Dar kupanga jiji. Madiwani watamuunga mkono? Au watakuwa upande wa machinga na mama ntilie? RIP Jiwe!
Hii ni wapi chief?
Na hili tatizo ccm wanalilea kwasababu wanachagua viongozi wenye elimu mdogo imayowakosesha ubunifu na kufikiri sawasawa! Laiti wangeweka vigezo vya kupata uenyekiti wa serikali ya mtaa, diwani, mbunge na hata waziri waombe hizo nafasi wakitumia CVS zao hakika nchi yetu ingepaa kiuchumi kwani kila mwananchi angelipa Kodi!
Lakini wanachaguana kwa vigezo vya kuzidiana uchawi na ulozi! Hatutafika hata rais angekuwa malaika!
Nimependa Chorus yako tu[emoji23][emoji23][emoji23]Hayati alikosa exposure hakuna mji duniani uko ovyo kama dar,mamalishe anapikia kuni chini ya transfoma pembeni kuna bank mbele kuna jengo la ubalozi.Mungu fundi