RC Makonda anafanya lile Watanzania Tunataka. Wanaomchukia ukiwauliza hata sababu hawana wamerithishwa chuki

Sijawahi ku-join JF kwa miaka 15 iliyopita ili kumjua mtu, na sina haja ya kujua mtu humu ndani, so angalia unachokisema! Pili, huwezi kunipangia cha kupost, yaani wewe ni nani unipangie? Nimesema huyo Makonda ni mjinga hana ethics za uongozi, stick hapo sio nje ya verified sijui na upumbavu gani! Otherwise shut up!
 
Acha Nikupuuzie tu. Soma ulichoandika mwanzo na Sasa halafu pokea puuzo tu Mkuu!

Jioni Njema!!!
 
Ili utengeneze mfumo ni lazima ujue tatizo na namna ya kuweka huo mfumo. Njia za kujua tatizo mojawapo ni mikutano ya hadhara ambayo Kila kiongozi anafanya. Kwanini Kwa Makonda Muone kama anakosea asee??? Ni Kweli Leo tunaona mikutano sio suluhisho la matatizo ya Wananchi???

Ni Kweli Mkuu hutambui kwamba hapo mkutanoni Mwananchi anapozungumza baadae anaitwa na ofisa kuchukuliwa maelezo Zaidi na kufanyia kazi... hili hujui Mkuu??? Hujui mwanzo wa kutengeneza solution au mfumo wa solution ni kujua tatizo lililopo.... Hebu tumpe Pongezi Makonda jamaa tuache vijiba...
 
Watu wenye akili hawawezi kubaliana na matendo na hulka za huyu jambazi

Sijui wew uko kundi gani
 
Hiyo ni njia ya kizamani sana inatumiea na huyu dogo kujikweza tu zipo njia za kisasa za kisayansi ambazo wenzake huwasikii sana lakini wanatumia

Huyu jamaa yako tatizo kubwa ni shule ndogo hawezi kupambanua mambo kwa upana wake

Kuna watu wanamjaza upepo kuwa anaweza kuwa kiongozi mkuu nchini

Hi basi na yeye anapenda sana matukio
 
Dogo punguza hasira huyo mtu wako hayuko principled, civilized na cultured na mannered
 
Wanaona jamaa anazidi kung'ara.
tunahitaji watu wa kuleta mwamko wa mabadiliko na sio mazoea
Mako anajitahidi. Lkn kuna maeneo anapotoka kidogo
Kama mama alipotoka aliposema 'Kila mtu ale kufutana na urefu wa kamba yake'. Na hatukusikia Tanzania human rights commission wakisema kitu. Yeye Makonda ni nani ulimi usiteleze?
 
Kama mama alipotoka aliposema 'Kila mtu ale kufutana na urefu wa kamba yake'. Na hatukusikia Tanzania human rights commission wakisema kitu. Yeye Makonda ni nani ulimi usiteleze?
Kama viongozi tunaowategemea kutuvusha ndio wanaongea maneno kama hayo, kama nchi tuna safari ndefu sana.
 
acha uchawi bado kijana mdogo kabisa ww
a u
 
Mikono ina damu za watu zinamlilia...muda utaongea........amekatili uhai wa watanzania wengi sana....
 
Mnatia huruma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…