RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Like father like son. He got some 5 years more to mwambafy himself.Asitegemee Rais ajae atakubali mtu asiye na vyeti kuwa mkuu wa mkoa.Kwasasa hebu tujifanye km hatumuoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunajua na wewe unajua kuwa hupendi wabunge wa upinzani na pengine hata ungesikia wamefutika kwako chozi lisinge toka.
Lakini pamoja na hayo, heshima ya mbunge wa Chadema au ACT ndio heshima ya bunge zima kama ilivyo katika mabunge yote ya Commonwealth countries.

Tamko hili la Makonda sio tuu limefedhehesha mamlaka ya mhimili wa Bunge tuu bali taifa zima la Tanzania.

Iko wapi sheria isemayo mheshimiwa Mbunge ambaye hajaingia bungeni akamatwe kuwa ni mzururaji? Kama ingekuwepo iweje wewe kama Spika wa muda mrefu tokea unaibu ulikuwa hujaona hilo mpaka aje alione RC ngumbaru aliyefoji vyeti vya elimu?

Jiulize tutasemwa mangapi na vyombo vya habari vya mataifa yenye ustaarabu kama kauli hiyo hutaipinga? Achana na utekelezaji, maana huko anaweza kusababisha mengine ikiwamo hata vurugu za kuangusha nchi.

Jee ni kweli muhimili wako unachezewa na kuwekewa sheria na mkuu wa mkoa? Na kama ni maagizo ya kitaifa kwa nini iwe Dar tuu na sio mikoa yote?

Mheshimiwa Ndugai acha kuruhusu jina lako kuingia katika orodha ya maspika wa hovyo kupata kutokea sio TZ tuu bali Afrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Zitto anajivunia uchawi wa waha dawa yake ni kumletea uchawi wa kilingala tu ufanye kazi
 
Makonda utaacha lini upopoma? Makonda mdogo wangu utaishi dunia gani wewe Makonda Makonda Makonda funga kinywa chako uwe na heshima zaidi.. umekuwa kama dudu washawasha linaputisha kila kitu shame on you
 
Corona siyo kipaumbele

Sukari imetushinda kudhiti

Sasa tunakwenda kutumia vyombo vya dola kupambana na watu wanaotetea uhai wao. Mtu kaamua akae nyumbani asiambukizwe corona sisi tunataka atoke aende Dodoma.

Mkuu wa mkoa anaelekeza hata muhimili wa Bunge nini ufanye, anauona Kama umeshindwa kazi na spika kimya tu.

Lini tutathamini uhai wa mtu kuliko madaraka?

Lakini tunajua, haya yanaletwa kutufanya tupoteze muda kwenye Mambo yasiyo ya msingi ili matatizo ya wananchi yasisikite kwa sauti ya juu
 
Kuna mwingine yupo Chato pia ana miezi kadhaa anakula kodi zetu, nipeni namba ya mkuu wa Mkoa wa Geita nimshtue amtimue pia

The devil himself! Yaani mimi binafsi I’d rather spend eternity in hell kuliko hata kumsikiliza huyo shetani akiwa anaharisha kwa kutumia mdomo! Yaani kila akifungua domo lake ni kinyesi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa na kama kweli RC Makonda hana nguvu za kisheria za kumrudisha Zitto Dodoma au Kigoma.....basi itabidi atuombe radhi wanadalisalama kwa kutulisha matango pori!
 
Tunajua na wewe unajua kuwa hupendi wabunge wa upinzani na pengine hata ungesikia wamefutika kwako chozi lisinge toka.
Lakini pamoja na hayo, heshima ya mbunge wa Chadema au ACT ndio heshima ya bunge zima kama ilivyo katika mabunge yote ya Commonwealth countries.
Tamko hili la Makonda sio tuu limefedhehesha mamlaka ya mhimili wa Bunge tuu bali taifa zima la Tanzania.
Iko wapi sheria isemayo mheshimiwa Mbunge ambaye hajaingia bungeni akamatwe kuwa ni mzururaji? Kama ingekuwepo iweje wewe kama Spika wa muda mrefu tokea unaibu ulikuwa hujaona hilo mpaka aje alione RC ngumbaru aliyefoji vyeti vya elimu?
Jiulize tutasemwa mangapi na vyombo vya habari vya mataifa yenye ustaarabu kama kauli hiyo hutaipinga? Achana na utekelezaji, maana huko anaweza kusababisha mengine ikiwamo hata vurugu za kuangusha nchi.
Jee ni kweli muhimili wako unachezewa na kuwekewa sheria na mkuu wa mkoa? Na kama ni maagizo ya kitaifa kwa nini iwe Dar tuu na sio mikoa yote?
Mheshimiwa Ndugai acha kuruhusu jina lako kuingia katika orodha ya maspika wa hovyo kupata kutokea sio TZ tuu bali Afrika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili jamaa na baba yaake yote yamechanganyikiwa kwa sbb ya uchawi na ulozi wanaoringia
 
Chadema wamedanganya Watanzania wanajifungia Leo hii wanaonekana Dar wakila bata

Makonda kamata hao wachumia tumbo wakae selo
 
Issue ya sukari hadi imeadimika Dar. Ufumbuzi? Hakuna!

Kama kawaida karukia hili la Wabunge. Nalo litaishia hivi huku akizua lingine. Ndiyo maisha yake na Jiwe.
 
Wabunge wa Chadema wametusaliti Watanzania Lazima tuwanyooshe October
 
Back
Top Bottom