Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Sasa kasimamisha.Mkuu wa mkoa hana mamlaka yoyote kumsimamisha kazi mtumishi wa umma. Rejeeni sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake za mwaka 2022
Ikiwa tuhuma ndio inaitwa ubadhirifu, lakini inapo thibitishwa na mahakama tena pasipo na mashaka ndipo wataitwa wezi.Siku hizi wizi ndio unaitwa ubadhirifu?
Mwenyekiti wa CCM serikali ya mtaa tu anamjambisha mganga mkuu sembuse mkuu wa mkoa.Mkuu wa mkoa hana mamlaka yoyote kumsimamisha kazi mtumishi wa umma. Rejeeni sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake za mwaka 2022
Thanks kwa kunielewesha Classmate.Ikiwa tuhuma ndio inaitwa ubadhirifu, lakini inapo thibitishwa na mahakama tena pasipo na mashaka ndipo wataitwa wezi.
Rais mtarajiwa miaka ijayo πHuyu rais wa tz ndugu makonda anachapa kazi kwelikweli.
Mimi sio mwanasheria ila ninachojua ni kwamba hajawafuta kazi, bali ametoa nafasi kwa uchunguzi uweze kufanyika....Mkuu wa mkoa hana mamlaka yoyote kumsimamisha kazi mtumishi wa umma. Rejeeni sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake za mwaka 2022
Ukipanda mbuyu utavuna mabuyuuu1π€£Ana trend kumpita katibu wa chama waziri mkuu na mwenye kiti wake wasipo mdhibiti kwasasa atakua naushawishi mkubwa wakati wa uchanguzi........raia wetu sio critical thinkers 80% itamuamini na kumsikiliza.
Kwani kanuni inaruhusu wizi!Mkuu wa mkoa hana mamlaka yoyote kumsimamisha kazi mtumishi wa umma. Rejeeni sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake za mwaka 2022
Hivi wewe grit sinker unaamini DMO anaweza kuiba milioni 600??Hii ndio akili ORIGINAL ya mtu mweusi, kwahiyo wamdhibiti ili asiibue uozo kama huo wa wizi wa milioni 600!?,au ili asiwazidi umaarufu!?, kwanini usiwashauri nao wafanye kazi kuibua uozo na ku solve matatizo ya wananchi!?,au unawaza uchaguzi na ku gain credit!?,Kuna wakati huwa nadhani wazungu wapo sahihi kuwaita watu weusi MONKEYS ni sababu ya akili kama hizi. Mtu anatatua kero za wananchi, mwingine anawaza credit na uchaguzi.
Mkuu Arusha mjini na Mbeya walitengeneza mfumo wa CONTROL NUMBER FAKE, na unapewa control number unalipia ila ela zinaenda kwa mtu. Mkuu wa wilaya alikuwepo, mkuu wa mkoa alikuwepo, TAKUKURU wapo na vyombo vya usalama vipo. Kwenye hii nchi lolote linawezekana. Kama watu waliweza kufuta meli kubwa nzima yenye container zaidi ya 1000 kwenye system, nini kinashindikana!?, inaonekana haupo Tanzania au hujui kinachoendelea..Hivi wewe grit sinker unaamini DMO anaweza kuiba milioni 600??
DED, DSO, MKUU WA WILAYA WAKIWA WAPI??
Nitajie nchi moja upinzani ulipoleta tofauti, halafu punguza jazba usiwe mfia vyama chadema,ccm,tlp wote wapo kimaslahi kama hujui hilo basi huna akili.Punguza kiherehere CHADEMA imeingiaje hapa?. Ongelea CCM waliopo madarakani, acha porojo. Unajifanya huoni yanayoendelea Sasa hivi umekazania CHADEMA wakiiingia bla blaa bla....., umekuwa nani wa kujua kesho, wakati hata saa moja usiku hujui Nini kitakutokea. Stupid
Kwa sasa hivi wanaobebeshwa lawama ni CCM kwa kuwa ndio wako madarakani hata mazuri yanayotendwa wakusifiwa ni CCM pia huwezi ukawatenganisha CCM na upande wa serekali kwa kuwa hii ni serekali ya CCM.Tatizo sio CCM wala Chadema, tatizo ni ubinafsi wa mtu mweusi, hicho chama kingine kitaleta watu kutoka Ujerumani au Japan!?,hujui hata ndani ya vyama vya upinzani kuna ufisadi mkubwa!?,nitajie nchi moja ya watu weusi duniani ambayo ilibadilisha chama na kuweka chama kingine Cha upinzani kikaleta mabadiliko ya kudumu. Mfano Kenya walibadilisha chama shida zikabaki zilezile kwa raia, wakaleta katiba mpya shida zikabaki zilezile, hizo ni hisia za watu vichwani, hata wakichukua nchi chadema mambo ni yaleyale tu labda walaji ndo watabadilika tu.
sasa kama mwenyewe ndiye mwenye uthubutu wa kutetea utawala wa haki. Wacha wenzake wajidai wanapigania utawala wa sheria na uhuru wa mahakama wakati kwenye uongozi kumeoza dhuluma tupu, uzembe na wizi wa umma .Ana trend kumpita katibu wa chama waziri mkuu na mwenye kiti wake wasipo mdhibiti kwasasa atakua naushawishi mkubwa wakati wa uchanguzi........raia wetu sio critical thinkers 80% itamuamini na kumsikiliza.
Mtumishi wa umma awe mwanaccm, asiye na chama au awe mwanachama wa upinzani anapaswa kufuata namna serikali iliyoko madarakani inataka kufuatana na ilani yake iliyowapa ushindi kwenye uchaguzi.Kwa sasa hivi wanaobebeshwa lawama ni CCM kwa kuwa ndio wako madarakani hata mazuri yanayotendwa wakusifiwa ni CCM pia huwezi ukawatenganisha CCM na upande wa serekali kwa kuwa hii ni serekali ya CCM.
NI Makonda huyuhuyu wakati akiwa katibu mwenezi wa CCM alikuwa anazunguka nchi nzima kama mwanaccm akifichua maovu yanayotendwa na watumishi wa serekali ya CCM na hakusema kuwa kwa kuwa CCM haihusiki basi aiachie serekali watajijua wenyewe.
Pia watumishi walio wengi wamepata nafasi hizo kwa mgongo wa CCM na wengi wao mpaka sasa ni wanachama wa CCM na ndio hao ambao Makonda ana hangaika nao.
Hatuwezi kusema kuwa CCM wasiondolewe madarakani kwa vile hata kule ambako vyama tawala vimeondolewa hakuna mabadiliko yoyote yaliotokea kwamba mambo yako vilevile,hata kukiondoa chama tawala madarakani na kuleta katiba mpya nayo ni mabadiliko.
Kazini wanarudi mkuu, hili nakuhakikishia. Utumishi wana taratibu zao kumsimamisha, kusitisha na kumuondoa mtumishi wa umma. It's just politics tuNdio ameshamsimamisha hivyo, kama hutaki mrudishe kazini,au muajiri wewe.
Kwa mtazamo wangu uko sahihi 100%. Ila inatakiwa wajue kuwa tunauwezo wa kuwabadilisha kadri tunavyoona inafaa, ili wawe na nidhamu ya kutuongoza vyema.Nitajie nchi moja upinzani ulipoleta tofauti, halafu punguza jazba usiwe mfia vyama chadema,ccm,tlp wote wapo kimaslahi kama hujui hilo basi huna akili.
huwezi kumsimamisha kazi mtu ambaye hujamteua wala kumuajiri mzee. mkuu wa idara ana pewa barua ya UTEUZI na tamisemi wala siyo RCMkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600
Source Mwananchi
Vijana Msilale bado Mapambano ππ₯
Mkuu watu wanaleta ushabiki wa vyama, Chadema, CCM, TLP etc, kote Kuna watu wazuri, changamoto ni kiongozi, au viongozi waliopo juu kwenye hicho chama ndo tatizo linapoanzia.Kwa mtazamo wangu uko sahihi 100%. Ila inatakiwa wajue kuwa tunauwezo wa kuwabadilisha kadri tunavyoona inafaa, ili wawe na nidhamu ya kutuongoza vyema.
RC hana mamlaka ya kusimamisha mtumishiMkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600
Source Mwananchi
Vijana Msilale bado Mapambano ππ₯
Makonda ni zero brainhuwezi kumsimamisha kazi mtu ambaye hujamteua wala kumuajiri mzee. mkuu wa idara ana pewa barua ya UTEUZI na tamisemi wala siyo RC
Huyo anahangaika tu