Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Sasa kasimamisha.Mkuu wa mkoa hana mamlaka yoyote kumsimamisha kazi mtumishi wa umma. Rejeeni sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake za mwaka 2022
Rc ndiye mnadhimu mkuu wa mkoa, kufuatilia nidhamu za wafanyakazi mkoani mwake.
Wadhani Rc anafanya asiyoyajua?