Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Sisi wa huku Kakonko hlo punguzo litatuhusu?Huyu mkuu wa mkoa kweli ni Naibu Rais kila sehemu yupo naona sasa hivi kawaovertake Shonza na Mwakyembe.
Huyu ni waziri wa wizara zoteHuyu mkuu wa mkoa kweli ni Naibu Rais kila sehemu yupo naona sasa hivi kawaovertake Shonza na Mwakyembe.
najaribu kuwaza glocery iko huko mtaa wa saba akishusha bei itafidiwaje?Hilo ni zuzu anaongea yeye kama nani na ana mamlaka gani ya kushusha vinywaji yeye kawa msemaji wa wafanya biashara?
Sent using Jamii Forums mobile app
*tusherehekeeWanywaji tujitahidi tukashangilie maana skuhiyo tukishinda kvant kubwa itakua buku 3 tu ili tusheherekee vizuri na bia ndogo (kirikuu)itauzwa 500 (joke)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha daaah Mkuu umepasua ya moyoniAnakuaga na muwasho mkali sana uyu mwana
Hata akipandisha bei sisi tutakunywa tu. Awadanganye wengine.Ah wengine sisi tunalewa kila siku syo Wageni wa vinywaji lbda mtupunguzie kwenye misosi
Any way kila la heri taifa stars mkazeee tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunalewa kila siku sisi syo washamba wa tungi kila siku sikukuu kwanza kwetuHata akipandisha bei sisi tutakunywa tu. Awadanganye wengine.
Hahaa yaani jamaa ana ropoka tuTuache kudanganyana muda mwingine.
Ina shangaza sana kwa kweliDuh.
Hivi inawezekana eeh. Kushusha bei ya vinywaji!
Hii hatari sana kama kiongozi ndio anasema hivi. Ni matumaini yangu hajasema huu upuuzi yeye.
Wacha wageni watungu wasubiri ahadi hewa. Mango kanunua mzigo umwambie apunguze being?. Ataingia tumboni kwa mtuna viatu.Sisi tunalewa kila siku sisi syo washamba wa tungi kila siku sikukuu kwanza kwetu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesha acha la tez dummeMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mabwege tuu ndiyo wanaomsikiliza huyo muuza suraMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja Dar Jumapili ninywe juice kwa bei ya punguzo.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app