RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

Hili mbona linawezekana sana mkuu. Hivi nyie hamjawahi kushuudia mtu anafunga baa na kusema wote mwalimo ndani watakunywa kwa bill yake. Kama mtu binafsi tu anyemiliki familia yake tu anaweza tufanye hivyo nadhani anayemiliki mkoa mzima ni kazi rahimi sana kwake kutekeleza hill.
 
Nitamuunga mkono kwa mara ya kwanza km atashusha bei ya vyombo

God first
 
Hivi Jiji la dar kuna RC au campaign manager of sports and entertainment plz magufuli tukikuamini tena 2020 umtafutie mwanao kazi nyingine inayo mfaa.
 
Back
Top Bottom