RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

Bashite anajaribu kujibu taarifa iliyotolewa na ubalozi wa US kuhusu hali ya korona Dar.
Propaganda za kishamba sana.
 
Kuna swala hujauliza kuhusu magari ya serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Pole Sana Mkuu
 
Asante mkuu. Tuzidi kuvaa barakoa na kukaa meta 2 mtu na mtu😅😅
 
QUOTE="Cannabis, post: 35342370, member: 201681"]
Mwenye macho haambiwi tazama, je aliwachukulia hatua gani baada ya kugundua hilo?
[/QUOTE]
Unafikiri mpaka aseme hajachukua hatua? Uliishawahi kuambiwa hatua zilizochukuliwa kwa wale "wahuni" wa Kibiti? Unawasikia Siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…