Huku Gwajima, kule Bashite. Watu wanapukutika bado anaaminisha wat kuna ununuzi wa majeneza
Nni tusi kubwa kwa maelfu ya wafiwa! wanaomboleza, misiba kila kona bado kuna dhihaka kama hii
Kwamba, kuna watu wananunua majeneza kueneza uvumi. Tanzania tumefikaje hapa?
Kila siku kuna kitu cha kushangaza dunia, siku hizi ukisoma Media za duniani ni mabaya ya Tanzania
Inafika mahali tunaona aibu hata kujiita Watanzania.
Huyu bwana alisema ni mafua na kuna watu wanatia hofu watu watoke kuchapa kazi.
Leo watu wanapukutika anasema nini tena? Watanzania kuna misiba huko mitaani , ni kuzika tu
Majirani wanatufungia mipaka, sisi bado tunaendekeza uzezeta tu.
KM Bushiru alisema neno kuhusu huyu bwana siku ya mazishi ya Mengi kule Moshi.
Tumechoka na aibu kama Taifa! Tafadhalini kaeni kimya sisi tunazika tukimaliza tutawaambia muongee
JokaKuu Pascal Mayalla Mag3 tindo