Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hayo makaburi yafukuliwe tujiridhishe...Hata mimi nimeshangaa sana, wachimbe makaburi, wanunue majeneza, wanunue PPE, wakodi na Ambulance kwa ajili ya kwenda kufanya "shooting", Duu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo makaburi yafukuliwe tujiridhishe...Hata mimi nimeshangaa sana, wachimbe makaburi, wanunue majeneza, wanunue PPE, wakodi na Ambulance kwa ajili ya kwenda kufanya "shooting", Duu!
Umeongea kwa hisia sana mkuu mpaka umenigusaHuyu kiongozi ni "ZERO ZERO ZERO KICHWANI" kabisaaa. Yani kichwa chake kimejaa "MATOPE". Akili zake hua anakua amezikalia. Yani ni punguwani kabisa hili jamaa.
Haya maradhi sio yakufanyia mzaha, ni hatari sana, yapaswa tuyachukulie "SERIOUS" sanaa.
Imefikia hatua nchi zote za jirani zinatuona kama mkaa wa moto. Tanzania tumekua kama vile "WAZALISHAJI/BREEDERS/INCUBATOR" ya COVID-19.
Hata tukisimamia takwimu zao za mwisho za wagonjwa 480 bado sio shwari,lakini tukiachana na hio tutumie tu zile za madereva wanaokutwa na Corona mipakani mwa nchi jirani,kwa siku za Jana pekee madereva 23,Namanga hapo tukirudi nyuma kidogo kuna madereva 9 walikutwa na covid mpakani na Uganda,halafu Uamuzi wa Rwanda kwamba kila dereva alietoka Tanzania hataingia nchi hiyo bali atamkabidhi dereva wa Rwanda,bila kusahau Uamuzi wa Uganda kwamba Dereva kutoka tz kwanza atakuwa pekeyake na hatatakiwa kulala popote ndani ya Uganda,Halafu tumalizie na Uamuzi wa Zambia kufunga mpaka wake,upo sahihi mkuu!. ila pia hali sio shwari kwa takwimu ipi pia!? nauliza tu kuondoa ujinga nna imani utanijibu kwa weledi bila hisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Damu za watu zinawatafunaMajeneza yananunuliwa mtandaoni? Yale Yale ya Yule baba yake kuwa amefanya utafiti kakuta mapapai yana corona, hivi hawa watu shule walienda kweli?
Au kuna dhambi wamefanya inawatafuna? Maaana ujue mtu alietenda dhambi kubwa unamkuta anajiongelesha vitu vya kitoto kabisa na yeye anajisikia raha kuona yuko sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Idadi imepungua namna gani? kutoka wangapi hadi wangapi? Wewe huna kipimo, unatoaje taarifa kama hiyo!Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Paul Makonda amenena yake kuhusu hali ya Corona mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari amesema hali sasa inaelekea kuwa shwari, idadi ya wagonjwa inazidi kupungua na kuwatoa hofu wakazi wa mkoa huo.
Vile vile amesema alifanya uchunguzi na kugundua watu wenye nia ovu mtandaoni walinunua majeneza na kwenda kwenye maeneo ya makaburini na kuchimba chimba na kujifanya wanazika ili kuleta taharuki.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Paul Makonda amenena yake kuhusu hali ya Corona mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari amesema hali sasa inaelekea kuwa shwari, idadi ya wagonjwa inazidi kupungua na kuwatoa hofu wakazi wa mkoa huo.
Vile vile amesema alifanya uchunguzi na kugundua watu wenye nia ovu mtandaoni walinunua majeneza na kwenda kwenye maeneo ya makaburini na kuchimba chimba na kujifanya wanazika ili kuleta taharuki.
Bongo bwana!Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Paul Makonda amenena yake kuhusu hali ya Corona mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari amesema hali sasa inaelekea kuwa shwari, idadi ya wagonjwa inazidi kupungua na kuwatoa hofu wakazi wa mkoa huo.
Vile vile amesema alifanya uchunguzi na kugundua watu wenye nia ovu mtandaoni walinunua majeneza na kwenda kwenye maeneo ya makaburini na kuchimba chimba na kujifanya wanazika ili kuleta taharuki.
We jiulize,kama wasiojurikana waliweza kuiba rekodi na makabrasha ya migodini ya makinikia,hao walionunua majeneza,wakachimba makaburi,wakapiga picha,mbona hawajakamatwa?Hata mimi nimeshangaa sana, wachimbe makaburi, wanunue majeneza, wanunue PPE, wakodi na Ambulance kwa ajili ya kwenda kufanya "shooting", Duu!
Iga ufeImagine! Statement ya mkuu wa mkoa hiyo.
Hivyo hali ni shwari sasa tuweke barakoa chini ili tupumue vizuri maana nazo zinasumbua sana.