Ukimpa mtu mic, hana cha kusema, hajui cha kusema, hata speech rahisi tu ya msiba wa Mengi anaharibu.Matokeo ya kukubali kuongozwa na akili ndogo ndio hayo
Elimu si lazima iwe ya darasani. Kuna wengi hawana elimu rasmi lakini wameelimika.Mimi huwa nadharau sana elimu ya darasani ila kupitia huyu jamaa nimegundua kuwa kumbe ina umuhimu sana!
Wewe umetokea nchi gani ili tukuwahishe kwa ndege binafsi!
Kwani ni tusi kwako kuwa na uwezo sawa na huyo kiumbe?Uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana rudia kusoma nilichoandika alafu utagundua upeo wako..
Kuna kuwa na mkalimali,Mkuu si kulikuwa na wenzetu wa mataifa ya nje?
In God we Trust
Upotoshaji wa uletaji mada unaweza kupelekea uelewa mbovu
Sio bure tatizo kubwa ulikuwa nalo la kugombanisha watu!Duuu unataka kuniwahisha? Kisa nini mkuu? Mungu pekee ndiye ataniwahisha siyo wewe
In God we Trust
Sio bure tatizo kubwa ulikuwa nalo la kugombanisha watu!
Chemical weapons zimekuwa Biological weapons na Bomu la Nzige hahahahaaHuenda hata haelewi maana ya biological weapon. "Tusimame, tutumie dakika moja kumhurumia"