RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018


Wewe ni me au ke? Samahani kwa swali hilo kama litakukera
 
HAHAHAHa mtoto wa kiume unafuatilia mavazi ya watu humu mitandaoni na mpaka kushauri wavae unavyotaka ...hahahaha Isee duh

le Mutuz Super Brand

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu. Amekushauri vizuri tu, usi panick .fanya utupie le sutiz you know !!! Coz siku hiyo ni tukio muhimu na lazima lirushwe kwenye media all over the fuckn world man
So lazima ung'ae mkuu
Chukua hiyo advice le akili kubwaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila kitabu umeandikiwa wewe, vingine acha vikupite wasome wenye interest, ila kisicho kufaa wewe cha mfaa mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…