- Sio muhimu kujibu but nitakuelimisha kidogo, kila chenye mwanzo hakikosi mwisho, nilienda USA nikaamua kurudi nilikotoka Bongo, kelele za mlango ni kawaida. Walisema sitaweza bongo walipoona ninapaweza wakasema nimekimbia hahahahahhaa na bado! mtasema mengi sana!
le Mutuz Superbrand
Wewe ni me au ke? Samahani kwa swali hilo kama litakukera