RC Makonda na DC Jokate mlisubiri hadi Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo akate Roho ndiyo mjimwambafai kuwa aliwaomba mumlelee Watoto?

Sijui aliona nini akaaga,
Tuelezeni tu walau tujue kidogo jokete kwenye Instagram yake kaandika aliagwa since 11.6.2020, ina maana huyu marehemu alijua hawezi pona.

Mungu ampe kauli dhabiti,
Nimemuuliza jamaa mmoja anayeendaga kwa mafundi. Yeye kasema inawezekana ilitakiwa mtoto aende ila Mama kagoma kukubali masharti kwa hiyo kaenda yeye (Mama). Na hilo jambo hutokea ndani ya siku 100.

Inawezekana alijua.
 
Nimemuuliza jamaa mmoja anayeendaga kwa mafundi. Yeye kasema inawezekana ilitakiwa mtoto aende ila Mama kagoma kukubali masharti kwa hiyo kaenda yeye (Mama). Na hilo jambo hutokea ndani ya siku 100.

Inawezekana alijua.
Akili ndogo sana.
 
Reactions: THT
Kwani kulea watoto inahitaji uwezo wa kiuchumi peke yake? Huyo marehemu ndo anayewajua watu wake, kama wewe hukuchaguliwa kulea watoto wake, vinakuwasha nini? Si ulee wa kwako au ukachukue wanaozurura barabarani uwaboreshee maisha yao.

Lakini huyo marehemu naye, Yaani Bashite ni wakwenda kumpa mtoto wako akulele?
 
...Kuna Neno kubwa hapo. Uache kumuambia Mumeo ama Mkeo anayeumwa sana kwamba ukiondoka awaangalie Watoto WENU, ukawaambie Watu Baki ambao Ukifariki tu Mazungumzo uliyoongea nao wanayaweka hadhari na kuleta picha mbaya mwenza aliyebaki???[emoji848]
Watuambie yote waliiyoongea naye ili tuone Picha halisi....[emoji848][emoji848]!
 
Hii kitu imenikumbusha Makete......wakinga wanavyotafuta utajiri!
 
Tafuta ngoma moja inaitwa no Bodies ya mwanamuziki marlyn manson. Ameimba unachokisema hapa.
Ni kwamba dunia ya Leo watu hutafuta umaarufu kutokana na matatizo wanayopitia watu ili kujinufaisha binafsi.
 
Kwanza aliugua nini?
Wabongo isijekuwa sadaka
 
Wanasema bora mavi makavu kuliko mabichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…