classic guy
Member
- May 27, 2020
- 89
- 108
picture pleaseNimeona Salam sk ameukataa kwa kuuputa mkono wa Harmonize [emoji28][emoji28][emoji28] dah Mungu awaokoe mabifu mpaka kwenye msiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
picture pleaseNimeona Salam sk ameukataa kwa kuuputa mkono wa Harmonize [emoji28][emoji28][emoji28] dah Mungu awaokoe mabifu mpaka kwenye msiba.
Nimemuuliza jamaa mmoja anayeendaga kwa mafundi. Yeye kasema inawezekana ilitakiwa mtoto aende ila Mama kagoma kukubali masharti kwa hiyo kaenda yeye (Mama). Na hilo jambo hutokea ndani ya siku 100.Sijui aliona nini akaaga,
Tuelezeni tu walau tujue kidogo jokete kwenye Instagram yake kaandika aliagwa since 11.6.2020, ina maana huyu marehemu alijua hawezi pona.
Mungu ampe kauli dhabiti,
Akili ndogo sana.Nimemuuliza jamaa mmoja anayeendaga kwa mafundi. Yeye kasema inawezekana ilitakiwa mtoto aende ila Mama kagoma kukubali masharti kwa hiyo kaenda yeye (Mama). Na hilo jambo hutokea ndani ya siku 100.
Inawezekana alijua.
Nyota inaibiwaje kwa Watu Kusalimiana kwa kupeana Mikono yao? Naomba ujuzi ili nami nikalazimishe kupeana Mkono na Tajiri Bill Gates Ndugu.
Kwani kulea watoto inahitaji uwezo wa kiuchumi peke yake? Huyo marehemu ndo anayewajua watu wake, kama wewe hukuchaguliwa kulea watoto wake, vinakuwasha nini? Si ulee wa kwako au ukachukue wanaozurura barabarani uwaboreshee maisha yao.Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka kusema kuwa aliona Mumewe hawezi Kuwalea hao Watoto au Mumewe hana tena Uwezo wa Kiuchumi wa Kuwalea hao Wanae au hapa mnataka Kututumia Ujumbe Sisi Wafiwa na Marafiki wa Kawaida?
Kuna Watu mnakera kweli kweli hapa Tanzania!
Je ukitangulizwa wewe mzee, utapunzikia huko.wote tutakufa ni suala la muda tu ili yote yatimie me nasubiri Jiwe lipasuke ili tupate siku ya kupumzika.
wote tutakufa ni suala la muda tu ili yote yatimie me nasubiri Jiwe lipasuke ili tupate siku ya kupumzika.
wote tutakufa ni suala la muda tu ili yote yatimie me nasubiri Jiwe lipasuke ili tupate siku ya kupumzika.
...Kuna Neno kubwa hapo. Uache kumuambia Mumeo ama Mkeo anayeumwa sana kwamba ukiondoka awaangalie Watoto WENU, ukawaambie Watu Baki ambao Ukifariki tu Mazungumzo uliyoongea nao wanayaweka hadhari na kuleta picha mbaya mwenza aliyebaki???[emoji848]Kwani kulea watoto inahitaji uwezo wa kiuchumi peke yake? Huyo marehemu ndo anayewajua watu wake, kama wewe hukuchaguliwa kulea watoto wake, vinakuwasha nini? Si ulee wa kwako au ukachukue wanaozurura barabarani uwaboreshee maisha yao.
Lakini huyo marehemu naye, Yaani Bashite ni wakwenda kumpa mtoto wako akulele?
Kweli wewe ni AkilindogosanaNimemuuliza jamaa mmoja anayeendaga kwa mafundi. Yeye kasema inawezekana ilitakiwa mtoto aende ila Mama kagoma kukubali masharti kwa hiyo kaenda yeye (Mama). Na hilo jambo hutokea ndani ya siku 100.
Inawezekana alijua.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nyota inaibiwaje kwa Watu Kusalimiana kwa kupeana Mikono yao? Naomba ujuzi ili nami nikalazimishe kupeana Mkono na Tajiri Bill Gates Ndugu.
Hii kitu imenikumbusha Makete......wakinga wanavyotafuta utajiri!Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka kusema kuwa aliona Mumewe hawezi Kuwalea hao Watoto au Mumewe hana tena Uwezo wa Kiuchumi wa Kuwalea hao Wanae au hapa mnataka Kututumia Ujumbe Sisi Wafiwa na Marafiki wa Kawaida?
Kuna Watu mnakera kweli kweli hapa Tanzania!
Tafuta ngoma moja inaitwa no Bodies ya mwanamuziki marlyn manson. Ameimba unachokisema hapa.Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka kusema kuwa aliona Mumewe hawezi Kuwalea hao Watoto au Mumewe hana tena Uwezo wa Kiuchumi wa Kuwalea hao Wanae au hapa mnataka Kututumia Ujumbe Sisi Wafiwa na Marafiki wa Kawaida?
Kuna Watu mnakera kweli kweli hapa Tanzania!
Tumeimis ile id yako yenye jina la dawaKuna Tukio la Mtu kutaka Kugombea Ubunge Jimbo moja maarufu hapa Dar es Salaam, hivyo akigombea tu najua Kahusika 100% na huu Msiba.
Kuna Tukio la Mtu kutaka Kugombea Ubunge Jimbo moja maarufu hapa Dar es Salaam, hivyo akigombea tu najua Kahusika 100% na huu Msiba.
Mungu anisamehe, Tale simwaninigi kabisa...kama sio mchawi....Alijua ameshatolewa Kafara, hivyo akawaomba makonda na jokate wawalinde watoto wake ili nao wasije kutolewa kafara.
Hii ndio WCB
Kwanza aliugua nini?Sallam nae kasimulia eti Tale alihamia kwa Sallam kisa anaogopa kuwaambia watoto mama yao yupo wapi. Hivi mkeo anaumwa kalazwa ndo muda unatakiwa uwe na wanao karibu. Na alitakiwa awaambie wanae ukweli. Au roho ilikuwa inamsuta ?Kuugua kwa Shamsa kuna mauza uza mengi.
Wanasema bora mavi makavu kuliko mabichiKwani kulea watoto inahitaji uwezo wa kiuchumi peke yake? Huyo marehemu ndo anayewajua watu wake, kama wewe hukuchaguliwa kulea watoto wake, vinakuwasha nini? Si ulee wa kwako au ukachukue wanaozurura barabarani uwaboreshee maisha yao.
Lakini huyo marehemu naye, Yaani Bashite ni wakwenda kumpa mtoto wako akulele?
Shemu huyo nduguyo lakiniHahhhaahhaa u made my evening jamani.hahahhaa mbona kupasuka ka jiwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Ntapika pilau firigisi mie[emoji39]