RC Makonda na DC Jokate mlisubiri hadi Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo akate Roho ndiyo mjimwambafai kuwa aliwaomba mumlelee Watoto?

Khaaaaah mam na mie nmeshangaa hapo tyuuh, au labda sangoma akamuambia wakati wa kuumwa usikae nyumbani hadi deal liwe done, [emoji19][emoji19]
 
Sasa muhusika mwenyewe alishajua n mboga ya kuliwa (kafara), kwanini asiende mapema kuomba msaada kwa watu waweze kuwalea na kuwatunza wanae, maana bila hivyo watakuwa kweny risk na wao kuliwa vichwa tena kirahisi pasipo pingamizi, aaaaah tale bhana mlozi wa kiwango cha uprofesseli.
 
Kuna Dada wa flani hivi alifariki kifo cha kuugua ghafla na kisichoeleweka ndugu zake wakamkalia kooni na kumtangazia matangazo ya Vitisho yule Bwana mpaka akatoka kabisa kwenye kundi lile hahaahahhaha utafika mda watolewaji wataisha hapo sasa ndo itakuwa MTAFUTENI
Mambo ya kibaana saana kuna Mtu ataja watolea Uvivu kiwango cha Lami japo pia watu wasioelewa wataendelea kutoamini ila tunaoelewa mambo kwa mbali picha tutakuwa tumeipata MJI MZITO HUU..............
kwa NAMNA yoyote huyu Dada wakati anaugua angekuwa ameenda kwenye Familia ya lile Kundi au hata kwa huyo Shemeji alipoenda mume wake Kulala,maana ndo watu wa karibu iweje ameenda kwa watu ambao ni wa karibu pia lakini si kivile kama hao ambao walisimamia Shughuli nzima kuna jambo bwana lipo kwenye mabano....
ILA MUDA UTASEMA.
 
Nadhani hata hawa wasanii wanaoondoka ondoka kwenye kundi lile wanakutana na vigezo vya masharti ambavyo anaona bora alipe tu mil 600 lakini aendelee kuwaona wapendwa wake na ndo hapo watu wanapokutana na kushindwa kusalimiana Hahahahhaha Bwana MJI MZITO SANA HUU.....sisi tunabaki kusema Maslahi wakati maslahi yanatubana wote kwenye biashara kwenye kazi kwenye shughuli binafsi nakadhalika.
 
Hiyo niliikuta kwenye misiba ya kijaluo.
tusipokuwa makini kila kitu tutaweka for funny yaani hata baba yako akifariki mtu ataanza kujigamba kuwa ameachiwa hiki na hiki..na swala la msiba tutaliacha tu
 
Nyota inaibiwaje kwa Watu Kusalimiana kwa kupeana Mikono yao? Naomba ujuzi ili nami nikalazimishe kupeana Mkono na Tajiri Bill Gates Ndugu.
Imani haba ni utumwa sana, yani tangu nizaliwe nasalimiana na Watu mikono kila siku afu leo hii akurupuke Mpumbavu mmoja kunizuia kisa nitachukuliwa nyota?
 
Watanzania wanaamini ushirikina kupita kiasi. Miaka michache iliyopita kuna taasisi nadhani ya USA ilifanya utafiti katika baadhi ya Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania na Nigeria, nilishangaa sana hitimisho lao kwamba katika hizo baadhi ya Nchi za kiafrika Tanzania ilikuwa ni kinara wa kuamini kwenye ushirikina.

Wabongo wape kichwa cha habari mengine watamalizia wenyewe,tena huyu ni mwanaume kabisa.
 
Ni masharti ya Mganga
 
Bashite na Meko ndio michezo yao.
Wanajaza waganga kama 50.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…