cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Khaaaaah mam na mie nmeshangaa hapo tyuuh, au labda sangoma akamuambia wakati wa kuumwa usikae nyumbani hadi deal liwe done, [emoji19][emoji19]Sallam nae kasimulia eti Tale alihamia kwa Sallam kisa anaogopa kuwaambia watoto mama yao yupo wapi. Hivi mkeo anaumwa kalazwa ndo muda unatakiwa uwe na wanao karibu. Na alitakiwa awaambie wanae ukweli. Au roho ilikuwa inamsuta ?Kuugua kwa Shamsa kuna mauza uza mengi.