RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.

Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”

Makonda Arusha.jpg

PIA, SOMA:

Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha
Matukio baada ya Uteuzi
 
Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.

Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Makonda jiulize kwanini unakoswa koswa ? Malipo ni hapa hapa
 
Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.

Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Muuaji anasimuliab alivyokoswakoswa?
Anapenda kukoswakoswa? Basi ngoja waje wamjaribu tuone kama watamkosa.
 
Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.

Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Aendelee kujitapa na amesema hana Cha kujifunza ATI kwamba hata akiwa Mkuu wa Mkoa Kwa siku 1 tuu inatosha atawanyoosha lazima wajue mwanaume alipita.

Typical Kauli za majigambo,kiburi na jeuri za watu wa Kanda Ile.

Ngoja tuone mda ni Mwalimu mzuri
 
Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.

Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Dahhhh.....😜
Siasa hizi yaani watu wazima tuna sokotwa laivu, Mungu atusaidie tu...🤣
 
Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.

Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Ndiyo ajifunze kuishi na watu vizuri japo huyu ni ZEROBRAIN. Yeye mwenyewe kaua akina Ben Saanane, Azory Gwanda na aliongoza kikundi cha WASIOJULIKANA kwenda kumshambulia Tundu Lissu akiwa mkutanoni Dodoma.

Hukumu ya Makonda ipo tu, siku yeyeote au Mahakamani au mtaani, ila hawezi kuepuka. Lazima kikombe akinywe tu
 
Back
Top Bottom