RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha

RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha

Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.

Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Huyu jamaa akili zote kumbe zimemezwa na ile sambwanda kwamba ataishi milele?
 
Kwa hiyo chadema mnataka kulipiza kisasi?
maiti-9.jpg
kwani Hawa wa kwenye viroba hawana ndugu
 
Chadema kwa Sasa content itakuwa Makonda mtaondoka kwenye agenda za Katiba mpya
 
Back
Top Bottom