4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kwani Makonda hajui kwamba wapo wahuni wa Dunia wakitaka hawazuiliki,Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.
Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”