RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha

makundu sijui kwanini hataki kubadilisha njia zake mbona Ma-RC wenzake wanaenda walikoteuliwa kimyakimya yeye ni nani hata aende na misafara
 
Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.

Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”

Sasa hayo yote nani kamuuliza? Huyu jamaa anapenda sifa sana.
 
Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.

Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”

mbona yeye kawapoteza wengi
 
Mwuaji anayehofia kivuli chake
 
Acha kujifariji. Simama kwenye haki usionee kudhulumu wala kutisha watu. Kila nafsi itaonja mauti
 
Back
Top Bottom