4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kwani Makonda hajui kwamba wapo wahuni wa Dunia wakitaka hawazuiliki,Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.
Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Cheap popularityMkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.
Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Siasa za Karne hii Kama sio Sanaa unadhani ni nini ? Full Usanii mwanzo mwisho; Kwahio yupo kwenye Field inayomfaaPaul Makonda akiendelea na hizi kiki tutampeleka kwenye jumba la sanaa
Hahaha.......umekoswa koswa mara tatu??Chadema ni wauaji wakubwa
Hao ni wale magaidi wa mkiruView attachment 2957896kwani Hawa wa kwenye viroba hawana ndugu
Kuna mkosi mkubwa sana pale mtu akianza kuzungumzia kuhusu kunusurika kifo mara kwa mara kwa kuwa huwa haichukui muda kabla hakijamkuta. Kiroho maandiko yanasema Ibilisi ni mshtaki, kwa hiyo hachelewi kukurudishia matamanio yako.Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.
Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Wange. Muua kabisa ajiulize yeye kauwa wangapi si na wao walipenda kuishi kama yeye.Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.
Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sita kufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Huyu jamaa chenga sanaMwambieni aache uongo.
Acha dhihaka kwenye imani za watu.Damu ya Yesu imfunike RC Paul Christian Makonda.
Amen.
Mbona hatwambii ilikuwaje alipo kimbia kutoka kwa Trump?Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.
Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama mara tatu hivi kupoteza maisha, lakini kwa neema na mapenzi ya Mungu tuko hai, na mimi nawaambia sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya Mungu.”
Anawadanganya waliokubali kudanganywaMwambieni aache uongo.