Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uongo?Nitafute tu halafu ukimbilie kwa Moderators kutoa lawama kuwa nakukosea Heshima.
Cc: JamiiForums Founder Maxence Melo, Cookie, Active, Payge, YinYang, JamiiForums etc
Hivo vi haice mbona hata kampala, mombasa, lagos vimejaa kibao tu kuliko arusha. Kila sehemu ina culture yake jomba. Sio kisa dsm kuna costa ukataka kila mkoa uwe na costaIle stendi ya Arusha ni Aibu, vile vi hiace ni kero, bajaji zimejaa mjini kama mchanga, hili Jiji serikali hailipi uzito unaostahili ijapokuwa unachangia pakubwa kwenye makusanyo ya kodi
The burning issue as explored by GENTAMYCINE is a bus station, we do not need to hear about old storiesKatika hili namtetea Makonda. Ishu ya stendi ilikwamishwa na aliyekuwa RC wakati huo Gambo. Lilitengwa eneo zuri karibu na mjini na linalofikika kirahisi ila kwa fitina zake akapeleka kwingine. Stendi imekwamishwa na siasa chafu za Gambo. Makonda katika hili hahusiki.
You really have a calling in BROKEN English. "We do not"?!!!... is it you and your husband?The burning issue as explored by GENTAMYCINE is a bus station, we do not need to hear about old stories
Hivi big results now iliishia wapi?
Hivo vi haice mbona hata kampala, mombasa, lagos vimejaa kibao tu kuliko arusha. Kila sehemu ina culture yake jomba. Sio kisa dsm kuna costa ukataka kila mkoa uwe na costa
Hatutaki sisi tunataka makonda abebe lawamaKatika hili namtetea Makonda. Ishu ya stendi ilikwamishwa na aliyekuwa RC wakati huo Gambo. Lilitengwa eneo zuri karibu na mjini na linalofikika kirahisi ila kwa fitina zake akapeleka kwingine. Stendi imekwamishwa na siasa chafu za Gambo. Makonda katika hili hahusiki.
😁😁😁 kama ni hivyo sawa. Ila tutamlaumu kwa kosa ambalo sio lake. Huyohuyo Gambo ndo kiini cha tatizo. Pia baraza la madiwani lina mamluki wengi sana wa upinzani. Lawama nyingine atupiwe Meya wa jiji.Hatutaki sisi tunataka makonda abebe lawama
Kumbe wapinzani nao wana mamluki wao😁😁😁 kama ni hivyo sawa. Ila tutamlaumu kwa kosa ambalo sio lake. Huyohuyo Gambo ndo kiini cha tatizo. Pia baraza la madiwani lina mamluki wengi sana wa upinzani. Lawama nyingine atupiwe Meya wa jiji.
Ndiyo hasa Arusha.Kumbe wapinzani nao wana mamluki wao
Wewe ni tako..stendi kutengeneza unafikiri rahisi hivyo? Nyumba ya nyasi?Makonda ni kelele tu.. toka aje Arusha hakuna lolote alilofanya la maana
Kama kagera tuu!!Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo na ama Ujinga au Upumbavu wake.
Some of us including the one who started this thread, insulting words will not help you, similarly if you do not know where you are going any road/path will take you there. Am not closed-minded, I also understand that we have pessimistic people around usYou really have a calling in BROKEN English. "We do not"?!!!... is it you and your husband?
Uchumi upi? Wa kufunga barabara muhimu kwa siku 3 mfululizo na kusababisha shughuli muhimu za kiuchumi zisiendelee kisa POMBE?? Hakuna maeneo ya wazi kufanya upuuzi ule?? Unakuja kufanya katikati ya mji (kamji kenyewe kadogo). Au ni kweli alikuwa akitambika kama baadhi ya watu walivyotafsiri??Kazi ya mbunge Gambo hio, yupo hapo muda sasa, Makonda haimuhusu kivile. Hayo matamasha yanainua mkoa wa Arusha kiuchumi hata mamtoni yapo hayo haswa summer time,.
One day you will be fine with your grammar... continue to put in efforts. You are a certified broken english master.Some of us including the one who started this thread, insulting words will not help you, similarly if you do not know where you are going any road/path will take you there. Am not closed-minded, I also understand that we have pessimistic people around us