RC Makonda Sifa nyingi kumbe Mkoa wa Arusha hauna Stendi ya Uhakika wa Mabasi na Wakazi wanalalamika Kutwa

RC Makonda Sifa nyingi kumbe Mkoa wa Arusha hauna Stendi ya Uhakika wa Mabasi na Wakazi wanalalamika Kutwa

Genta kwa Kaka Paul nakupinga, ishu ya Stend is way above his paygrade, you have got to give him his respect maana at least ameonyesha utofauti hata kwa hizo unazoziita cheap popularity events.. Mkuu wa Mkoa yule ni mbunifu, na mwenye uthubutu. Kama Tanzania ingekua na wakuu wa Mikoa hata watano wa Namna yake hii nchi ingekua moja ya ukanda unaovutia utalii na uwekezaji kwa pwani yote ya Bahari ya Africa Mashariki(Hindi) haswa kupitia social platforms ambazo kutwa we na wenzako mnazijaza content za Kipumbavu na Ngono
 
Ile stendi ya Arusha ni Aibu, vile vi hiace ni kero, bajaji zimejaa mjini kama mchanga, hili Jiji serikali hailipi uzito unaostahili ijapokuwa unachangia pakubwa kwenye makusanyo ya kodi
Hivo vi haice mbona hata kampala, mombasa, lagos vimejaa kibao tu kuliko arusha. Kila sehemu ina culture yake jomba. Sio kisa dsm kuna costa ukataka kila mkoa uwe na costa
 
Katika hili namtetea Makonda. Ishu ya stendi ilikwamishwa na aliyekuwa RC wakati huo Gambo. Lilitengwa eneo zuri karibu na mjini na linalofikika kirahisi ila kwa fitina zake akapeleka kwingine. Stendi imekwamishwa na siasa chafu za Gambo. Makonda katika hili hahusiki.
The burning issue as explored by GENTAMYCINE is a bus station, we do not need to hear about old stories

Hivi big results now iliishia wapi?
 
The burning issue as explored by GENTAMYCINE is a bus station, we do not need to hear about old stories

Hivi big results now iliishia wapi?
You really have a calling in BROKEN English. "We do not"?!!!... is it you and your husband?
 
Katika hili namtetea Makonda. Ishu ya stendi ilikwamishwa na aliyekuwa RC wakati huo Gambo. Lilitengwa eneo zuri karibu na mjini na linalofikika kirahisi ila kwa fitina zake akapeleka kwingine. Stendi imekwamishwa na siasa chafu za Gambo. Makonda katika hili hahusiki.
Hatutaki sisi tunataka makonda abebe lawama
 
Hatutaki sisi tunataka makonda abebe lawama
😁😁😁 kama ni hivyo sawa. Ila tutamlaumu kwa kosa ambalo sio lake. Huyohuyo Gambo ndo kiini cha tatizo. Pia baraza la madiwani lina mamluki wengi sana wa upinzani. Lawama nyingine atupiwe Meya wa jiji.
 
😁😁😁 kama ni hivyo sawa. Ila tutamlaumu kwa kosa ambalo sio lake. Huyohuyo Gambo ndo kiini cha tatizo. Pia baraza la madiwani lina mamluki wengi sana wa upinzani. Lawama nyingine atupiwe Meya wa jiji.
Kumbe wapinzani nao wana mamluki wao
 
Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo na ama Ujinga au Upumbavu wake.
Kama kagera tuu!!
 
Kuna mjinga hapo Juu anasema hayo matamasha hata huko kwa kina Trump wanafanya...aashindwa hata kujua tu wenzetu hivyo vitu vidogo kama stand au barabara kwao washamaliza...ni ujinga mtupu kujilinganisha nao
 
You really have a calling in BROKEN English. "We do not"?!!!... is it you and your husband?
Some of us including the one who started this thread, insulting words will not help you, similarly if you do not know where you are going any road/path will take you there. Am not closed-minded, I also understand that we have pessimistic people around us
 
Kazi ya mbunge Gambo hio, yupo hapo muda sasa, Makonda haimuhusu kivile. Hayo matamasha yanainua mkoa wa Arusha kiuchumi hata mamtoni yapo hayo haswa summer time,.
Uchumi upi? Wa kufunga barabara muhimu kwa siku 3 mfululizo na kusababisha shughuli muhimu za kiuchumi zisiendelee kisa POMBE?? Hakuna maeneo ya wazi kufanya upuuzi ule?? Unakuja kufanya katikati ya mji (kamji kenyewe kadogo). Au ni kweli alikuwa akitambika kama baadhi ya watu walivyotafsiri??

Mamlaka za teuzi zilipaswa kulitizama suala la yeye kuzifunga barabara kwa siku 3. Na kama kweli uliathiri/ulibughudhi shughuli zingine basi hatua zingechukuliwa dhidi yake.
 
Some of us including the one who started this thread, insulting words will not help you, similarly if you do not know where you are going any road/path will take you there. Am not closed-minded, I also understand that we have pessimistic people around us
One day you will be fine with your grammar... continue to put in efforts. You are a certified broken english master.
 
Back
Top Bottom