RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

Wafungue vyuo na shule kwa sababu walimu na wakufunzi hawafanyi kazi muda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo ni hasara kwa taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kudhihilisha uchina walivyo fungiwa ndani walikuwa wavivu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aisee, kabla ya kuandika vingereza vyako vya kukopi wikipedia ebu jiulize ni waTZ wangapi wanaweza kuishi siku 30 wakiwa wamejifungia ndani bila kufanya kazi?? kwa uchumi gani ??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
QUO
Huyu RC amelewa madaraka
 
Kama tumeandikiwa kufa kwa korona acha tufe tukiwa tumesimama, sio kufa umejificha chumbani.
Kila MTU afanye kazi kama kawaida japo kwa umakini.
Safi sana,Kauli za kiume hizi
Hiki kipindi sijui kwa nini Magufuli na huyu jamaa wamekaa sana akilini mwangu,Nimewapenda sana

MIJITU MINGI MIVIVU SANA.HATA UKIENDA MAOFISINI WANAONEKANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Masanja mkandamizaji I,ameitwa na Mkuu wa wilaya akajieleze,kwa hiyo na Makonda anaikejeli Corona?na yeye aitwe ahojiwe?
 
Ukiwa na jeuri hakikisha unaweza kujitegemea ili ukipata matatizo wenye pesa zao wakikataa kukusaidia usianze mchawi,Mara sijui Zitto Mara sijui Lisu kumbe midomo yenu ikiongea inatema upumbavu
 
Hapo wewe unaonaje ? Yuko sahihi au amekosea
Yuko sahihi kwa sababu asilimia kubwa ya watu kwa nchi zetu za afrika hatuna ajira za kulipwa kwa mwezi. Afya yako ndio ajira, ukiamka salama asubuhi lazima utoke ukaangaike ndio mlo wa nyumbani upatikane. Kwa hiyo ukikaa nyumbani ina maanisha kwamba maisha yako na wanao kutegemea yapo hatarini kwa njaa. Na amekosea kwa kutotekeleza anacho kisema/anacho kisimamia. Ukiangalia kwenye hiyo video utaona jinsi anavyo jichanga aidha na wasaidizi wake ama wakandarasi alio kwenda kuwakagua, ili kauli yake isibaki kuwa kauli tu, ilitakiwa hao anao ongozana nao kila mmoja awe umbali usio pungua mita 1 na nusu kwa mwenzake ili kuonyesha mfano kwamba fanyeni kazi lakini huu ndio utaratibu unao takiwa. Bila ya hivyo watu watachukulia kwamba kiongozi amesema tufanye kazi, lakini zile taratibu hazitotiliwa mkazo kwani kiongozi mwenyewe hakuonyesha mfano huo.
 
Afungue shule za mkoa wa Dar es salaam na watoto waendelee kusoma.
 
Aisee, kabla ya kuandika vingereza vyako vya kukopi wikipedia ebu jiulize ni waTZ wangapi wanaweza kuishi siku 30 wakiwa wamejifungia ndani bila kufanya kazi?? kwa uchumi gani ??


Sent from my iPhone using JamiiForums
Lugha ndio tatizo? Omba tafsiri uelewe hiyo tafiti ya maambukizo,Upo gizani kweli ndugu.
 
Wakati wa vita kuna kitu kinaitwa commanding post ambapo mashambuliz na mipango yote hufanyika.
Corona ni vita,commanding post imeshatangazwa.Ni wajibu wetu wote tufuate maagizo toka commanding post.
Tuombe Mungu,sijui itakuwaje tukifikiwa na hali kama ya Italy,Allah aepushie mbali!!
 
Unapoteza muda wako mkuu........huyo kapewa mamlaka na mkuu hadi uwezo wa kudhulumu uhai wa watz bila kuguswa.....
 
Wewe ni mgonjwa wa ajili,Tanzania ina Marc 30+ sasa sijui mh Samoa na majaliwa waanze kupiga ramli kumbaini ni RC yupi una chuki naye,wewe boya kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…