RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

Na ole wako uropoke eti nyumba fulani kuna mgonjwa wa Corona au amekufa kwa Corona kama utaona Makonda akikutetea mbele ya shtaka la kutoa taarifa za uchochezi.
 
Mh tumekusikia waswahili wanamsemo...akili zakuambiwa changanya na zako...ndio tumechanya akili tayari na majibu umeyaona katika ziara uliyofanya tukirejea taarifa za mataifa mengine wanachofanya siamini watakuwa hawakuliona ulilotamka hususan nchi za dunia ya tatu tusicheze kamali na maisha kama mfanya biashara au taasisi imeamua kufunga shughuli zake kwa mda usilazimishe/shawishi jambo zito liwe jepesi...
 
NANI? Bashite? Huyo ni chui waliemlea wenyewe. Hao wote pamoja na mkubwa wao anaelalalala kwenye mawe, sasa wanamwogopa.
 

..walioamua kuchukua tahadhari za ZIADA wasilaumiwe au kusumbuliwa.

..kwa mfano, mtu aliyefunga duka lake kwa kuogopa Corona, hana athari, au hatishii afya za wengine. Hakuna haja ya kumsumbua mtu aliyechukua tahadhari hizo.

..wanaotakiwa kuandamwa ni wale wasiochukua tahadhari kabisa.

..Kwa mfano, wafanya biashara wasioweka maji ya kunawa, au sanitizer, ktk maeneo yao ya biashara. Au wenye daladala wanaojaza abiria kupita kiasi.

..Serikali inatakiwa kushughulika na wale wasiochukua tahadhari, na siyo kuandama wanaochukua tahadhari za ziada.
 
Makonda ni mmoja ya viongozi bora wa awamu hii.
 
Bwashee kodi isipolipwa mishahara na marupurupu ya watumishi wa umma utalipa wewe?!

Kama hukubaliani na data za serikali basi tuletee ushahidi!
 
Bwashee kodi isipolipwa mishahara na marupurupu ya watumishi wa umma utalipa wewe?!

Kama hukubaliani na data za serikali basi tuletee ushahidi!

..hivi nchi hii haina AKIBA?

..so far tumepata wagonjwa 20 tu, na wananchi bado wako makazini na biashara ziko wazi, kwanini tunatishana kwamba serikali itashindwa kulipa mishahara?
 
Hii ni komenti yangu bora ya mwezi!
 
Naunga mkono hoja watu wanaweka siasa kila mahala ooo serikali inadanganya wao watuambie wameshakutana na wagonjwa wa covid-19 wangapi.
 
Na ole wako uropoke eti nyumba fulani kuna mgonjwa wa Corona au amekufa kwa Corona kama utaona Makonda akikutetea mbele ya shtaka la kutoa taarifa za uchochezi.
Jitoe muhanga kusaidia wengine kama yule daktari wa China.
 
Oooh namlaani Makonda, asifanye siasa! kiko wapi? ndiyo kwaanza anakagua miradi, laani zina warudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…