RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

Wewe jifungie ndani kaa uingoje.
 
Yuko sahihi kbsa tupige kazi
Shuguli zirudi kma Kawa
Shule zifunguliwe
Ligi irudishwe
Makanisani msikitini ibada kama kawa
Turuhusu ndege kutuaaa
Makonda yuko sahihi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sayansi haipingwi kisiasa. Corona ipo Tanzania. Tufuate mapendekezo ya wizara ya afya ama sivyo kilio chaja. Time will tell.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanafanya kazi, ndo maana kodi inakusanywa kila siku, yeye stoe misaada ya chakula asijifanye kuwaambia watu in waoga.
 
Yuko sahihi kbsa tupige kazi
Shuguli zirudi kma Kawa
Shule zifunguliwe
Ligi irudishwe
Makanisani msikitini ibada kama kawa
Turuhusu ndege kutuaaa
Makonda yuko sahihi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka ventilator zipo 140 nchi nzima na zinatumiwa na watu wenye magonjwa mbalimbali, kwahiyo tuwe makini Corona ikilipuka tutakufa kama kuku wenye ugonjwa wa mdondo
 
Asichaokijua Huyu bwana na aliyemteua ni kwamba juhudi zinazochukuliwa na hao MABEBERU hazitatuacha salama pindi janga ukiisha. Wao wakimaliza kwai hawatakuja kwetu kwa sababu watasema cc hatujakinga watu wetu hivyo yanawezekana kwa wakati huo wengi wamebaki na maambukizo bado. Watu hawa washamba wa wapi sijui? Kwani hayawezi kukaa kimya hadi kila kitu waseme? Ndo mana walipewa maulimi mapana sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kufa ukiwa umesimama iamini hii serikali. Imejaa wasanii wa kufa mtu!
 
Ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imekaa mkao wa kula ,hongera mkuu,hatuwezi kimbizana na korona huku tuna njaa,tutakufa kwa kihoro,huu ndio uongozi,there is no lelemama in future by nyerere
 
bunge halina umuhimu?gulio halina umuhimu kwako wewe usiyejua mchango wa kila sekta na kila shughuli ya kiuchumi na kila mtu kwa jamii nzima ya nchi husika.
 
Na hauenezwi kwa njia ya hewa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] anawashangaa hata nchi ambazo watu wao wanajifungia ndani[emoji40][emoji40][emoji40][emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784] ni ugonjwa wa ajabu kabisa
Tuendelee kunawa mikono kwa sabuni na maji yanayotiririka, tufanye kazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tuone awamu hii ya vichaa wa kisukuma wanakotupeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…