Silasy
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 872
- 1,210
Kwa shughuli zote zitasimama wakati waalimu wakitengeneza Madaktari wapya kwa miaka 6?Halafu kwa ujinga wa WaTz wanaamini Daktari anafundishwa na Mwalimu,Mwalimu wa Daktari ni Daktari pia hao walimu mnaowasema ndio kila kitu uwezo wao unaishia kufundisha kusoma na kuandika labda sana Lugha na basics za science au biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha professionals wengine wade tu walimu watawafundisha tutapata hao madaktari sijui mainginia sijui wagavi na wanasiasa
Imagine wakifa walimu nani wanafundisha?
Hii govt ikon very clever walimu pumzikeni hiki kisanga kipite mtarudi kuendelea kutengeneza hao other proffesionals
Sent using Jamii Forums mobile app