Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Bado wiki mbili wafungue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wiki mbili wafungue
Ina mpango wa kuwatoa kafra wajinga wote,na yeye basi atoke,mbona anahimize wengine wakabanane Congo street wakati yeye ameweka distanceUkitaka kufa ukiwa umesimama iamini hii serikali. Imejaa wasanii wa kufa mtu!
Nilisema kwenye uzi mmoja kuwa naibu rais hawezi kukaa kimya,Ummy Kama umekasirika hama Dar.ccm oneni aibu basi kwa kutupatia viongozi wendawazimuJamani kwanini Tanzania tunaendeela kudhalilika kiasi hiki? Na bado wapo wanaoshangilia kituko hiki
1. Kila siku Waziri Mkuu, Waziri wa afya n.k. wanazungumzia COVID! kwa mujibu wa RC , je hawa ndio wanaotia hofu isiyokuwa na maana kwa Wananchi?
2. Wiki moja RC alisema Mbowe ajitokeze ili kutoa watu na kwamba alimtaja ili kulinda afya za watu.
Akamlaani kwa kufanya press na kusambaza ugonjwa. Leo RC huyo huyo hajui ugonjwa unavyosambaa
3. Duniani kote inajulikana wadudu ni Virus, leo RC wa Dar es Salaama anasema siyo Virus
Halafu anasema unasambaa kwa hewa, sijui hewa yenyewe bila virus ina madhara!
4. Italy wamefunga nchi wiki ya Tatu, Marekani within 24 watu 1400 wamefariki, Spain idadi ni hiyo.
Majirani zetu wa Kenya , Uganda na Rwanda wanachukua hatua, eti Tanzania tunakaidi tu.
5. Waziri Mkuu na Waziri wa afya, acheni kutoa update! ni kama kutia maji ndani ya ndoo inayovuja
Ninashukuru hiyo clip ipo kwa kiswahili, dunia ingetuona viumbe wa dunia nyingine.
Majirani wana kila sababu ya kutusema! Awamu ya tano ina tufedhehesha sana
JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
Mkuu Kama mtu anafundisha basi huyu ni mwalimu mtu,tunawapa majina mengine like tutor, lecture,instructor etc ili kuwaongezea hadhi tu Ila ukweli wote na walamba chake,ndo maana wengine wamejisemea walikuwa jalalani.Kwa shughuli zote zitasimama wakati waalimu wakitengeneza Madaktari wapya kwa miaka 6?Halafu kwa ujinga wa WaTz wanaamini Daktari anafundishwa na Mwalimu,Mwalimu wa Daktari ni Daktari pia hao walimu mnaowasema ndio kila kitu uwezo wao unaishia kufundisha kusoma na kuandika labda sana Lugha na basics za science au biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania wananchi wanajifungia ndani lakin Serikal inawahamasisha watoke Nje wafanye kazi
Kwingineko Duniani Wananchi wanataka kutoka nje kuchapa kazi Serikal zao zinawazuia kwa hofu ya Corona
Maana yake Wananchi wa TZ ni waoga na wavivu wakati Serikal yao ni ya kijasiri na kichapa kazi
Kwingineko Serikal zao za kivivu na kioga wakati wanancho wao ni wachapakazi yaani ulivyoandika upupu apa umenifanya nitapike bia yangu nlokunywa kwa ela zangu masta
Kwenye uhakiki wa vyeti ilibidi serikali idanganye kwamba wanasiasa Kama Marc si watumishi wa umma bali watumishi wa Nani sijui na hivyo vyeti vya jamaa havikukaguliwa,so msamehe bureJamani kwanini Tanzania tunaendeela kudhalilika kiasi hiki? Na bado wapo wanaoshangilia kituko hiki
1. Kila siku Waziri Mkuu, Waziri wa afya n.k. wanazungumzia COVID! kwa mujibu wa RC , je hawa ndio wanaotia hofu isiyokuwa na maana kwa Wananchi?
2. Wiki moja RC alisema Mbowe ajitokeze ili kutoa watu na kwamba alimtaja ili kulinda afya za watu.
Akamlaani kwa kufanya press na kusambaza ugonjwa. Leo RC huyo huyo hajui ugonjwa unavyosambaa
3. Duniani kote inajulikana wadudu ni Virus, leo RC wa Dar es Salaama anasema siyo Virus
Halafu anasema unasambaa kwa hewa, sijui hewa yenyewe bila virus ina madhara!
4. Italy wamefunga nchi wiki ya Tatu, Marekani within 24 watu 1400 wamefariki, Spain idadi ni hiyo.
Majirani zetu wa Kenya , Uganda na Rwanda wanachukua hatua, eti Tanzania tunakaidi tu.
5. Waziri Mkuu na Waziri wa afya, acheni kutoa update! ni kama kutia maji ndani ya ndoo inayovuja
Ninashukuru hiyo clip ipo kwa kiswahili, dunia ingetuona viumbe wa dunia nyingine.
Majirani wana kila sababu ya kutusema! Awamu ya tano ina tufedhehesha sana
JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
Twendeee hivyo hivyo a avyotaakaaa maana hakuna jinsiKumbuka ventilator zipo 140 nchi nzima na zinatumiwa na watu wenye magonjwa mbalimbali, kwahiyo tuwe makini Corona ikilipuka tutakufa kama kuku wenye ugonjwa wa mdondo
Mkuu nyumba inaanza na MsingiKwa shughuli zote zitasimama wakati waalimu wakitengeneza Madaktari wapya kwa miaka 6?Halafu kwa ujinga wa WaTz wanaamini Daktari anafundishwa na Mwalimu,Mwalimu wa Daktari ni Daktari pia hao walimu mnaowasema ndio kila kitu uwezo wao unaishia kufundisha kusoma na kuandika labda sana Lugha na basics za science au biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Somo LA Italia, Spain na USA litufunze sana, au hata hapo Kenya kuna watu waliipuzia na wakawa wanasafiri hivyo huko Ulaya walivyorudi wakaleta mlipuko
Asichaokijua Huyu bwana na aliyemteua ni kwamba juhudi zinazochukuliwa na hao MABEBERU hazitatuacha salama pindi janga ukiisha. Wao wakimaliza kwai hawatakuja kwetu kwa sababu watasema cc hatujakinga watu wetu hivyo yanawezekana kwa wakati huo wengi wamebaki na maambukizo bado. Watu hawa washamba wa wapi sijui? Kwani hayawezi kukaa kimya hadi kila kitu waseme? Ndo mana walipewa maulimi mapana sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kitu watz nimewapenda, kila kona ukienda kuna ndoo ya maji ya kunawa, hapa dar kwa mfano selikali imehimiza kila frem ya biashara iwe na ndoo ya maji ya kunawa na sabuni. Na agizo limeitikiwa, hadi kwenye vituo vya bodaboda kuna maji ya kunawa.Maisha ni hesabu, na hesabu hazidanganyi, wale waliowafungia namba ya waathirika inaongezeka na wale walioamua kujikita kuelimisha wananchi juu ya ugonjwa huu namba haziongezeki kwa kasi kivile.
Historia pia haidanganyi, ukisoma kitabu cha Daniel katika biblia takatifu, mfalme Wa babeli aliwakataza watu kumwabudu Mungu Wa kweli na badala yake waabudu miungu yake na wale hawakutii walikiona cha moto.
Kuuabudu ugonjwa huu hakuna tofauti na nyakati zile, tumeona Kenya na kwingineko watu watu wakipokea vipigo na wengine kupoteza maisha kwa sababu ya kutotii amri ya kuabudu Corona.
Sisi na Magufuli wetu wacha tumtegemee Mungu Wa kweli huku tukifuata elimu na maelekezo ya wataalamu wetu wakati pia Tukiomba Mungu kila mtu kwa imani yake tushinde jaribu hili.
FactTanzania wananchi wanajifungia ndani lakin Serikal inawahamasisha watoke Nje wafanye kazi
Kwingineko Duniani Wananchi wanataka kutoka nje kuchapa kazi Serikal zao zinawazuia kwa hofu ya Corona
Maana yake Wananchi wa TZ ni waoga na wavivu wakati Serikal yao ni ya kijasiri na kichapa kazi
Kwingineko Serikal zao za kivivu na kioga wakati wanancho wao ni wachapakazi na majasiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena usanii mkubwa sana.Watanzania hawaiamini tena serikali ya ccm haswa hii ya awamu ya tano kutokana usanii inaoufanya