RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

Jamani kwanini Tanzania tunaendeela kudhalilika kiasi hiki? Na bado wapo wanaoshangilia kituko hiki

1. Kila siku Waziri Mkuu, Waziri wa afya n.k. wanazungumzia COVID! kwa mujibu wa RC , je hawa ndio wanaotia hofu isiyokuwa na maana kwa Wananchi?

2. Wiki moja RC alisema Mbowe ajitokeze ili kutoa watu na kwamba alimtaja ili kulinda afya za watu.
Akamlaani kwa kufanya press na kusambaza ugonjwa. Leo RC huyo huyo hajui ugonjwa unavyosambaa

3. Duniani kote inajulikana wadudu ni Virus, leo RC wa Dar es Salaama anasema siyo Virus
Halafu anasema unasambaa kwa hewa, sijui hewa yenyewe bila virus ina madhara!

4. Italy wamefunga nchi wiki ya Tatu, Marekani within 24 watu 1400 wamefariki, Spain idadi ni hiyo.
Majirani zetu wa Kenya , Uganda na Rwanda wanachukua hatua, eti Tanzania tunakaidi tu.

5. Waziri Mkuu na Waziri wa afya, acheni kutoa update! ni kama kutia maji ndani ya ndoo inayovuja

Ninashukuru hiyo clip ipo kwa kiswahili, dunia ingetuona viumbe wa dunia nyingine.

Majirani wana kila sababu ya kutusema! Awamu ya tano ina tufedhehesha sana

JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
 
Ukitaka kufa ukiwa umesimama iamini hii serikali. Imejaa wasanii wa kufa mtu!
Ina mpango wa kuwatoa kafra wajinga wote,na yeye basi atoke,mbona anahimize wengine wakabanane Congo street wakati yeye ameweka distance
 
Nilisema kwenye uzi mmoja kuwa naibu rais hawezi kukaa kimya,Ummy Kama umekasirika hama Dar.ccm oneni aibu basi kwa kutupatia viongozi wendawazimu
 
Mkuu Kama mtu anafundisha basi huyu ni mwalimu mtu,tunawapa majina mengine like tutor, lecture,instructor etc ili kuwaongezea hadhi tu Ila ukweli wote na walamba chake,ndo maana wengine wamejisemea walikuwa jalalani.
 
 
Kwenye uhakiki wa vyeti ilibidi serikali idanganye kwamba wanasiasa Kama Marc si watumishi wa umma bali watumishi wa Nani sijui na hivyo vyeti vya jamaa havikukaguliwa,so msamehe bure
 
Mkuu nyumba inaanza na Msingi
Kwani kabla madaktari hawajaanza kufanya kazi si wanafundisha na mwalimu??
Nani akifa ni hasara kubwa daktari au mwalimu?
Hivi daktari anaweza mtengeneza mwalimu au mwalimu anaweza mtengeneza daktari???
 
Huyo Zero Brain,sasa kawa msemaji wa Corona.
 

Sahau
Waache dhahabu hivihivi tu, lazima wata fight ili wakija kuchukua dhahabu wasipate korona. Ha ha ha
 
Mkuu kitu watz nimewapenda, kila kona ukienda kuna ndoo ya maji ya kunawa, hapa dar kwa mfano selikali imehimiza kila frem ya biashara iwe na ndoo ya maji ya kunawa na sabuni. Na agizo limeitikiwa, hadi kwenye vituo vya bodaboda kuna maji ya kunawa.

Kwahiyo hili suala likisha selikali inaweza kupat a credit kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAVICHA watakuja kugaragara na kalio zao wakizielekeza juuh kupinga hili

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Makonda chapa kazi inawezekana Kuna binadam hapa hawajakuelewa kabisa kuwa wewe ninani, binafs nakukubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…