RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

Hii familia haina msemaji kila mtu anaropoka atakalo as long as kateuliwa.
 
Maagizo ya kijinga hayo.

Hawajui hata wanasimamiaje kuhakikisha barakoa zinavaliwa. Hivi si huyu alisema watapuliza dawa mitaani??

Tutafikia lockdown siku si nyingi, wamepanic na sawa wameanza lawama kwa wananchi.
 
Barakoa za Nguo,Vitambaa ,vitenge na Nguo nyingine Zina " efficiency" ya takribani Asilimia Sifuri 0% Kwenye Kuzuia Virusi Kama Coronavirus..Maana yake alievaa barakoa ya kitambaa na asievaa wote walewalee[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji2][emoji3]....

Kazi Kweliiikweliii.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani wakati "wanawaambia watu watoke wakachape kazi" bila tahadhari hawakuyajua haya?
Tuzidi kumuomba mola huku tukichukua hadhari zote tuwezavyo...
Ogopeni wanasiasa... (baadhi)
 
Huvai mask ili kujikinga na virusi wewe unaevaa, bali unavaa ili kama unaumwa basi utakapokohoa virusi visiende mbali sana hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukiza wengine, hivyo ni muhimu kila mtu avae ili tulindane, umeelewa?
Kulindana na kujilinda ni muhimu lakini je barakoa itavaliwa kutwa nzima? Je hizi barakoa zetu zina ubora unaostahili na ni salama kwa afya? Ama kuna janga jingine litafuata?
 
Makonda anapenda sana kuvaa magwanda ya Chadema. Sijui ameshasajiljwa na Mbowe
 
Chagua ukae ndani usitoke au utoke ukiwa umevaa Barakoa, utazitoa wapi is up to u!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina "samansi kwenda " kituoni" na Sina barakoa. Utii bila shuruti inakuwaje? Kuna jamaa anataka kwenda kuichangia Benki ya damu. Hana barakoa! Waje wamfanyie take away transfusion! Wa mihela wanataka kwenda keweka Benki, ndani hawana barakoa za kutokea!

Nawaza, shida kwel kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatapata, anaona dalili ya kula matapishi yake hivyo anaanza kubadili kauli zake kidogo kidogo
 
Ili kuepuka corona wakaazi wa Dar wapigwa marufuku kula kwa mama lishe, hili agizo siyo kama linakiuka aliyoagiza Rais na waziri mkuu kuwa hawata fungia watu ndani!

Kitendo cha kupiga marufuku watu kula kwa mama lishe maana yake mama lishe marufuku kutoa huduma, Hiyo ni lockdown tayari.

Chanzo: Gazeti la Mtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…