Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
SijuiDay one ilikuwa ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SijuiDay one ilikuwa ni ipi?
Kwani nilipoongelea mask wewe ulielewa za kanga na vitenge??Wanavaa N90, sio vitambaa vya khanga, pia wanajikinga na macho kwa njia mbali mbali
wapumbavu dunia hii hawataisha mpaka mwisho wa dunia. sasa nchi zote wanazovaa hizo balakoa wameambia na chadema? Tumia akili kidogo wakati mwingineAmeikubali Chadema, gwanda la kijani tupa kule asante kamanda.
Maagizo ya kijinga hayo.
Uliposema vitambaa ulimaanisha vya kanga au kitenge? (Soma post yako namba 12)Kwani nilipoongelea mask wewe ulielewa za kanga na vitenge??
Samahani wakati "wanawaambia watu watoke wakachape kazi" bila tahadhari hawakuyajua haya?Nimepata habari hii toka ukurasa wa instagram wa Millard Ayo. Picha ina maelezo kamili.
View attachment 1422568
=================================
Tulishatoa ushauri juu ya hili pia Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf - JamiiForums
===================================
Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask).
Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa”
Aidha, ameagiza kuwa kuanzia Jumatatu biashara zote zifanyike kwa mfumo wa ‘take away’ yaani ufike sehemu ya kununua bidhaa, nunua na ondoka.
Lakini pia amewataka watu kuhakikisha wanakaa umbali wa mita mbili kila wakiwa eneo la wa watu huku akiwataka wenye masoko kutafuta mfumo mbadala na mzuri wa kusimama masoko.
View attachment 1422654
Kulindana na kujilinda ni muhimu lakini je barakoa itavaliwa kutwa nzima? Je hizi barakoa zetu zina ubora unaostahili na ni salama kwa afya? Ama kuna janga jingine litafuata?Huvai mask ili kujikinga na virusi wewe unaevaa, bali unavaa ili kama unaumwa basi utakapokohoa virusi visiende mbali sana hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukiza wengine, hivyo ni muhimu kila mtu avae ili tulindane, umeelewa?
Ni salamaKulindana na kujilinda ni muhimu lakini je barakoa itavaliwa kutwa nzima? Je hizi barakoa zetu zina ubora unaostahili na ni salama kwa afya? Ama kuna janga jingine litafuata?
Hichi ndo kimenifanya nisite kununua hizi masks za vitenge.Barakoa za Nguo,Vitambaa ,vitenge na Nguo nyingine Zina " efficiency" ya takribani Asilimia Sifuri 0% Kwenye Kuzuia Virusi Kama Coronavirus..Maana yake alievaa barakoa ya kitambaa na asievaa wote walewalee[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji2][emoji3]....
Kazi Kweliiikweliii.....View attachment 1422949
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatambua hizi barakoa nyingi (za bei nafuu) baada ya kuvaliwa kwa muda hulowa kabisa je mtu wa Namanyere atazitambuaje?Ni salama
Vaa kilemba cha mkeo, hicho utakitambuaMkuu unatambua hizi barakoa nyingi (za bei nafuu) baada ya kuvaliwa kwa muda hulowa kabisa je mtu wa Namanyere atazitambuaje?
Na kwa nia njema wako watakaovaa barakoa na wenye nia ovu tahadhari ichukuliwe.Vaa kilemba cha mkeo, hicho utakitambua
Makonda anapenda sana kuvaa magwanda ya Chadema. Sijui ameshasajiljwa na MboweNimepata habari hii toka ukurasa wa instagram wa Millard Ayo. Picha ina maelezo kamili.
View attachment 1422568
=================================
Tulishatoa ushauri juu ya hili pia Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf - JamiiForums
===================================
Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask).
Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa”
Aidha, ameagiza kuwa kuanzia Jumatatu biashara zote zifanyike kwa mfumo wa ‘take away’ yaani ufike sehemu ya kununua bidhaa, nunua na ondoka.
Lakini pia amewataka watu kuhakikisha wanakaa umbali wa mita mbili kila wakiwa eneo la wa watu huku akiwataka wenye masoko kutafuta mfumo mbadala na mzuri wa kusimama masoko.
View attachment 1422654
Nina "samansi kwenda " kituoni" na Sina barakoa. Utii bila shuruti inakuwaje? Kuna jamaa anataka kwenda kuichangia Benki ya damu. Hana barakoa! Waje wamfanyie take away transfusion! Wa mihela wanataka kwenda keweka Benki, ndani hawana barakoa za kutokea!Chagua ukae ndani usitoke au utoke ukiwa umevaa Barakoa, utazitoa wapi is up to u!!
Sent using Jamii Forums mobile app