RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

Ana boa
 
Nafikiri kasema watu wafanye take away wasile hapo hapo...
Hata hvo huku kitaa chetu mama lishe wengi mchana wanakuletea msosi sehemu yako ya biashara so hakiharibiki kitu..

Sehemu pekee ambazo naona mama lishe wanaleta msongamano ni kwny masoko na nje ya viwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi kama hiki taifa lihitaji viongozi makini sio hawa wanasiasa uchwara na wapiga debe
 
Vipi mazingira ya site? Mfano watu wanaojenga barabara, watakula wapi? Maana bila mama ntilie sehemu zingine ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaan Hutu jamaa kila anachoamua ni pumba tu sasa mama lishe wasiuze basi wafunge na masoko yote.
 
Mikusanyiko bado ipo mingi atumie mbinu mbadala kuipunguza ading'ang'anie mask tu
 
Kwa maana nyingine mamalishe hawaruhusiwi kuwepo kipindi hiki Cha Corona.... Maana wateja wao hawatakuwepo..
 
HAYA MATAMKO YAO YA KILA SIKU WANABWABWAJA TU, MAJI YAKIZIDI UNGA KUNA VITU VITAJIFUNGA VYENYEWE AUTOMATICALLY
 
Yaaan Hutu jamaa kila anachoamua ni pumba tu sasa mama lishe wasiuze basi wafunge na masoko yote.

Inatumika nguvu kubwa kuzuia mikusanyiko ktk bar...

Ni heri wangezuia shughuri za bar, hotel, mamalishe, usafiri wa abiria kwa kutoa tamko linaloeleweka... Wakati huohuo watoe na njia mbadala wa kupata huduma hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…