mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Bado tuna tapatapa tunaogopa kufanya yatupasayo kufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...Hatujui tufanyaloBado tuna tapatapa tunaogopa kufanya yatupasayo kufanya
The wrong is gone leaving behind lamentation.Kula kunachangia nini Na corona,bora angesema marufuku kupanda daladalaa,au kwenda kariakoo, corona confuse people and people confuse people,wht went wrong?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana boaIli kuepuka corona wakaazi wa Dar wapigwa marufuku kula kwa mama lishe, hili agizo siyo kama linakiuka aliyoagiza Rais na waziri mkuu kuwa hawata fungia watu ndani!
Kitendo cha kupiga marufuku watu kula kwa mama lishe maana yake mama lishe marufuku kutoa huduma, Hiyo ni lockdown tayari.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mazingira ya site? Mfano watu wanaojenga barabara, watakula wapi? Maana bila mama ntilie sehemu zingine ni shidaNafikiri kasema watu wafanye take away wasile hapo hapo...
Hata hvo huku kitaa chetu mama lishe wengi mchana wanakuletea msosi sehemu yako ya biashara so hakiharibiki kitu..
Sehemu pekee ambazo naona mama lishe wanaleta msongamano ni kwny masoko na nje ya viwanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikusanyiko bado ipo mingi atumie mbinu mbadala kuipunguza ading'ang'anie mask tuMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Paul Makonda amesema kuanzia Aprili 20 siku ya Jumatatu kila mtu atakayepanda Daladala na anayekwenda kwenye eneo la manunuzi yeyote lazima awe amevaa Barako (Mask)
Poa siku hiyo ya Jumatatu ameelekeza biashara zote zifanyike katika mfumo wa 'Take Away', hivyo mtu akienda sehemu anunue na aondoke.
Kwa maana hiyo huduma ya guest house inabidi watupe vitanda vya take away
Yaaan Hutu jamaa kila anachoamua ni pumba tu sasa mama lishe wasiuze basi wafunge na masoko yote.