pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Kama wenzake wote wamevaa mask maana yake hakuna wa kumwambukiza mwenzakembona yeye hajavaa ilhali wenzie wamevaa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wenzake wote wamevaa mask maana yake hakuna wa kumwambukiza mwenzakembona yeye hajavaa ilhali wenzie wamevaa??
Hii nchi kazi kwelikweliKama wenzake wote wamevaa mask maana yake hakuna wa kumwambukiza mwenzake
Wapi uliona daktari akitoa maelekezo kwa wananchi?Na ndio maana nikashauri mambo ya korona waachiwe waachiwe wataalamu hawa wanasiasa achilia mbali UJINGA wao pia wanachanganya watu!!
Hivi hapo dsm hakuna dokta wa mkoa? kwanini asiachiwe yeye atoe maelekezo?
Bado nyumba za ibada, muongozo kwenye kukaa!
We nimeshakushtukia unapigia debe bar zisifungwe...Nafika Bar, Nanunua Beer, Naondoka.
DAH.
Niliona USA!!Wapi uliona daktari akitoa maelekezo kwa wananchi?
Huyu jamaa zero brain kabisaNdio maana masema haya mambo ya kitaalam waachiwe wataalam. View attachment 1422471
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrembo nenda ukonga ukajjfungie karantinTunakumbuka shuka kumekucha, wale wazururaji Bora wabaki home tu maana wengine wanasingizia kujitaftia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata USA Trump ndiyo aliyosema watu wavae mask za vitambaaUSA!!
Alafu Waziri wa afya si yupo? kazi yake ni nini? watu wa afya wa mkoa hawapo? kazi yao ni nini?
AiseeHaya mambo ya kuwaambia watu wanywee nyumbani, ukilewa unaweza kumshika beki tatu tako mkeo akiuliza unafanya nini? Unajibu kwani we ndo meneja wa hii bar?
Yuko ChatoTunahitaji hatua za nchi nzima, sio Dar peke yake ugonjwa umesha enea nchi nzima.....Raisi wangu uko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo ya kuwaambia watu wanywee nyumbani, ukilewa unaweza kumshika beki tatu tako mkeo akiuliza unafanya nini? Unajibu kwani we ndo meneja wa hii bar?